Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,697
- 1,962
Pole mkubwa ndio ukubwa huo.
huyo anayelala hajaona picha za mjengwa kwenye blog yake alitegemea nini??
I find blogs being more personal to the blogger and his/her interest kiasi kwamba sielewi kwanini ni lazima kuwakilisha zaidi
samahani kama nimekosea but hata aliyelalama kuhusu mjengwa kuwa na virus angeweza na yeye kuan zisha blog, it is free
Niwahakikishie, kuwa Mjengwablog ni blogu huru. Haijapata kununuliwa na haitakuja kununuliwa kufanya kazi za kishabiki. Na mimi kama mmiliki wa blogu ndivyo nilivyo. Sijapata kununuliwa na sitakuja kununuliwa nimfanyie mtu kazi ya kishabiki na isiyo na maslahi ya kitaifa.
Maggid,
Iringa.
.
Ingawa una access na internet lakini bado unaishi zama za mawe, wewe bado upo enzi za sanduku la posta na c/o!Mie naona watu wa Anti-Virus ndio walitakiwa wakutumie picha zao za tukio hilo hili uweke kwenye blog yako na kama usingeweka hapo ndio ungepewa lawama kidogo.
Zaidi ya hapo blog ni yako na wewe mwenyewe huko huru kuweka unachotaka.