Jomo Kinyatakaka naomba nikubaliane na wewe kwamba kushabihiana kwa initials siyo kushabihiana ktk utendaji,pia inaweza kufanana na utendaji!
mfano wa hawa marais walowahi kutokea!
1)John Kennedy(JK)
2)Julius Kambarage(JK)
3)Jakaya Kikwete(JK)
Tehe! Tehee!!Teheeeee!!!!! CCM mwaka huu mtasema yote na haitawasaidia maana Watanzania wanawafahamu kuliko mnavyowafaham. Mwanadam haongozwi kienyeji.
kaka naomba nikubaliane na wewe kwamba kushabihiana kwa initials siyo kushabihiana ktk utendaji,pia inaweza kufanana na utendaji!
mfano wa hawa marais walowahi kutokea!
1)John Kennedy(JK)
2)Julius Kambarage(JK)
3)Jakaya Kikwete(JK)
Maneno mengiiiii utendaji mbovu..ENL- Efficiency,Noble and a Leader..simple na inaeleweka.
Jikuma Mkundule-diwani kata ya Lupiro mahenge kwa Waziri Kombani
I would like to take an offense on behalf of Mnyika and Mbatia..kuwaweka those two pamoja na Mrema na Mkwere kosa la jinai..