Kuhusu Sample, Mheshimiwa alitumia Formula ya GIGO

Hapana, raisi yuko sahihi, mimi nalia na wasaidizi na washauri waliokubali kupima vitu ambavyi ni irrelevant, kuna siku niataenda kupima mkojo nikutwe na mimba!!!!
Mwenye matatizo mi Rais. Wssaidizi/washauri wameteuliwa na Rais kama kateua hovyo na ushauri utakuwa wa hovyo hivyo "GIGO" pia washauri kazi yao kushauri ni jukumu la anaepokea ushauri kuuukubali ushauri mzuri na kuukataa ushauri mbaya. Asisingizie washauri/wasaidizi wa hovyo ni yeye.
 
Naheshimu mawazo, mtizamo, msimamo na maoni yako but I am sure the guy is very smart anajua procedure zote, please kumbuka ni MTU wa Chemistry
 
Haya madai yataleta wadau wa maendeleo waombe pia kushirikikishwa ktk uchunguzi.

Maana ktk hili Mh. Rais amewagusa WHO World Health Organization, manufacturers / wahandisi wa vifaa, watengenezaji wa ingridients,;couriers, laboratories technicians, virologist n.k

Ni kama Tanzania imepata ajali ya ndege na kile kinachoitwa sanduku jeusi / blackbox wadau wengi watataka kujua kilichotokea ktk ajali, sababu, uzembe n.k
 
Hii kitu nimesoma kwenye mitandao watu wametucheka sana, Mzee ametumia formula au msemo umaoitwa GIGO. Hii inasomeka hivyo hivyo kwahio wale mburula wa Lumumba FC wasihangaike kutafuta Kamusi.

Kirefu chake ni Gabbage In Gabbage Out yaani uki-feed wrong information utapata wrong output. Kwahio There is no way wangepata majibu sahihi, never!

Mashine za watu wala hazina matatizxo wala wataalamu hawana shida, sisi ndio wenye shida
Mkuu wewe kichwani huna kitu.
 
Ujuaji mwiingi mbwa wa ufipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Garbage In, Garbage Out

Umenikumbusha kitu. Kwenye software development tuna kamsemo usiwaamini watumiaji wa bidhaa yako. Kwa makusudi / uzembe / kutokujua huwa wanabuni njia za kuiharibu program yako kisha kukulaumu wewe mtengenezaji.

Utamwambia ingiza namba, yeye ataweka screenshot. Kama haukutest hicho kitu wakati wa utengenezaji wa program, kitakachoendelea kitakuwa ni 'undefined behaviour' na inaweza ikawa chochote. Program inaweza ikasema 'hii namba uliyoingiza ni pin yako ya mpesa'. Sasa ikitokea hivyo mtumiaji atamlaumu mtengeneza program kuwa anadukua pin kumbe screenshot aliyoingiza kwenye sehemu ya namba imeleta 'undefined behavior'

Kipimo kina majibu machache. Positive, Negative, Inconclusive / Indeterminate, Error. Aliyekitengeneza amejaribu kwa sampuli ya binadamu, its intended use. Wewe umeenda kuweka papai, umetrigger undefined behaviour, jibu likatoka positive, kisha ukalitumia kuconclude kipimo ndio tatizo.
 
Hii kitu nimesoma kwenye mitandao watu wametucheka sana, Mzee ametumia formula au msemo umaoitwa GIGO. Hii inasomeka hivyo hivyo kwahio wale mburula wa Lumumba FC wasihangaike kutafuta Kamusi.

Kirefu chake ni Gabbage In Gabbage Out yaani uki-feed wrong information utapata wrong output. Kwahio There is no way wangepata majibu sahihi, never!

Mashine za watu wala hazina matatizxo wala wataalamu hawana shida, sisi ndio wenye shida
hivi kwanza mpaka aliamua kufanya hivyo alilenga nini ?
 
Back
Top Bottom