Kitaalamu hakuna hii kitu,ndio maana na yeye anakomalia kwamba siasa inatumia,maana mkienda hvivi anawaleta huku halafu nyie mnarudi palepale,yani kweli upeleke damu ya kuku,daktari aipime aseme Una ukimwi,kweli.
Kama ni hivyo majasusi wangekuwa wana feli sana.
Tatizo letu watanzania huwa tuna haraka na mihemko ya kudeal na matatizo yetu,kweli upime DNA ya nyani halafu itoe matoke ya nyangumi aaaaah GIGO,GIGO bwana.
Tusipojifunza jinsi ya kutumia saikolojia tutateswa sana,hebu tubadilike kidogo,tusiende kwa sababu tumepelekwa upande fulani,unajua siasa ni kama mchezo wa karate,mwenzako akirusha ngumi siyo lazima kuzuia kwa mkono,zuia kwa teke