Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 555
- 661
GIGO sio formula, ni kijimsemo ambacho sio cha kisayansi: nguvu yako ya hoja naona imebebwa na GIGO. Nadhan hoja ya kivipimo ipimwe na tabia ya vipimo
Mfano: Kutambua kirusi cha normal flu nachukua mucus ya mgonjwa wa flu, je nikichukua mucus ya papai kipimo kitaonesha kwamba papai lina kirusi cha flu?