Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Hii kitu nimesoma kwenye mitandao watu wametucheka sana, Mzee ametumia formula au msemo umaoitwa GIGO. Hii inasomeka hivyo hivyo kwahio wale mburula wa Lumumba FC wasihangaike kutafuta Kamusi.
Kirefu chake ni Gabbage In Gabbage Out yaani uki-feed wrong information utapata wrong output. Kwahio There is no way wangepata majibu sahihi, never!
Mashine za watu wala hazina matatizo wala wataalamu hawana shida, sisi ndio wenye shida. Unakua na hypothesis na hukubali hio hypothesis unataka uilazimishe iwe ukweli.