Kuhusu Sample, Mheshimiwa alitumia Formula ya GIGO

Kuhusu Sample, Mheshimiwa alitumia Formula ya GIGO

Namtetea, ugomvi wangu ni wasaidizi wake tu! Why waruhusu Raisi aongee vile wakati wao ndio wameruhusu sample kupimwa.
kwasababu wanapenda vibarua vyao na familia zao. Na wako sahihi kabisa huoni walivyosifiwa na kushukuriwa
 
Hii kitu nimesoma kwenye mitandao watu wametucheka sana, Mzee ametumia formula au msemo umaoitwa GIGO. Hii inasomeka hivyo hivyo kwahio wale mburula wa Lumumba FC wasihangaike kutafuta Kamusi.

Kirefu chake ni Gabbage In Gabbage Out yaani uki-feed wrong information utapata wrong output. Kwahio There is no way wangepata majibu sahihi, never!

Mashine za watu wala hazina matatizxo wala wataalamu hawana shida, sisi ndio wenye shida
Na Mimi nilivyomsikiliza nikaamua kufukiza papai ebwana lilihorojeka ndani ya dakika ya tatu utadhani nimenunua brenda
 
Haya madai yataleta wadau wa maendeleo waombe pia kushirikikishwa ktk uchunguzi.

Maana ktk hili Mh. Rais amewagusa WHO World Health Organization, manufacturers / wahandisi wa vifaa, watengenezaji wa ingridients,;couriers, laboratories technicians, virologist n.k

Ni kama Tanzania imepata ajali ya ndege na kile kinachoitwa sanduku jeusi / blackbox wadau wengi watataka kujua kilichotokea ktk ajali, sababu, uzembe n.k
Na hapa ndipo ulipo wasi wasi wa ukweli wangu, wasaidizi wa Rais wataingiza nchi kwenye mgogoro mkubwa sana either wa kimya kimya kimya au wa wazi wazi kabisa. Nani atakubali jina lake lichafuliwe?
 
Garbage In, Garbage Out

Umenikumbusha kitu. Kwenye software development tuna kamsemo usiwaamini watumiaji wa bidhaa yako. Kwa makusudi / uzembe / kutokujua huwa wanabuni njia za kuiharibu program yako kisha kukulaumu wewe mtengenezaji.

Utamwambia ingiza namba, yeye ataweka screenshot. Kama haukutest hicho kitu wakati wa utengenezaji wa program, kitakachoendelea kitakuwa ni 'undefined behaviour' na inaweza ikawa chochote. Program inaweza ikasema 'hii namba uliyoingiza ni pin yako ya mpesa'. Sasa ikitokea hivyo mtumiaji atamlaumu mtengeneza program kuwa anadukua pin kumbe screenshot aliyoingiza kwenye sehemu ya namba imeleta 'undefined behavior'

Kipimo kina majibu machache. Positive, Negative, Inconclusive / Indeterminate, Error. Aliyekitengeneza amejaribu kwa sampuli ya binadamu, its intended use. Wewe umeenda kuweka papai, umetrigger undefined behaviour, jibu likatoka positive, kisha ukalitumia kuconclude kipimo ndio tatizo.
Well said kabisa, wasingemshauri Rais kurisk kitu kama hiki, washauri hawa ndio wakuchunguzwa
 
hahahahahha usipanic mm nimeshaichoka hii dunia yetu ya tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimepanic Mkuu?? Hahahaha siwezi, Niko hapa kulinda heshima ya ofisi ya Rais. Ni icon ya nchi, hawataandika Magufuli bali wataandika Tanzania, kama mtanzania nina haki ya kulinda nchi yangu dhidi ya "mabeberu"
 
Mimi sijaelewa mpaka sasa mechanism iliyotumika.
Kama alitaka kupima kuwa icho kifaa ni kibovu au wanadanya majibu ilibidi kutuma sample moja ileile kwenye vipimo kibao apo then aangalie majibu kama yote ni sawa basi hakuna shida au majibu yakiwa tofauti basi ndo aje aseme vipimo vina shida.

Sasa wameenda kupima sijui mapapai alafu wanaconclude vipimo ni vya uongo haoni kama kaleta tena variables mpya mezani ambazo zinawea leta maswali mapya
Sent using Jamii Forums mobile app


Hii ndio comment bora kabisa iliyouliza haswa kile kilichotakiwa kufanywa kuhusiana na uhakiki wa ubora wa hizo mashine.
Baada ya kumsikiliza nikabaki nikijichekea tu mwenyewe moyoni. Nikajiambia kweli rais tunae😂😂
 
Hii ndio comment bora kabisa iliyouliza haswa kile kilichotakiwa kufanywa kuhusiana na uhakiki wa ubora wa hizo mashine.
Baada ya kumsikiliza nikabaki nikijichekea tu mwenyewe moyoni. Nikajiambia kweli rais tunae😂😂
Hahahaha shida ni Wasaidizi na washauri wake Mpwa
 
Hapana mpwa sidhani shida ni washauri, kuna yake binafsi anayaongezea kwenye ushauri anaopewa na hapo ndipo uharibifu hutokea na kubadirisha maudhui yote ya jambo husika
Dah, inawezekana kweli?? Tuyaache haya pengine hatukumuelewa!!
 
Nashauri sana kwenye hili suala la vipimo tuambiwe ukweli...
(Is the COVID-19 Coronavirus Test Reliable?)!
Siku zote tuhimize uwazi (transparency)!
Kifaa chetu kinaitwaje, Cha mwaka gani? Kimetengenezwa wapi? Msambazaji nani? Tumepewa kama donations au tumejinunulia?
Je, tunatumia combination of tests ku-justify majibu?
Au pengine tumefaraghua vifaa vilivyokuwepo ili vitumike kupima ugonjwa mpya...??
Changamoto ya vipimo sisi si wa kwanza...
Nchi nyingi tu duniani tayari walikataa baadhi ya vipimo...!
Walichofanya ni kukubali uwepo wa tatizo la #Corona.
Na kwa haraka wakaumiza vichwa vyao "kudesign" vipimo vya kwao wanavyoridhika na majibu yake...!

Kabla ya kukataa "Vipimo vyao"... Tujiulize
Je, wakipata dawa au chanjo tutakubali?
Kama jibu ni Ndiyo/Hapana (50:50) basi tuingie mzigoni siye wenyewe.. Tusake vipimo...Tusake chango... Tusake dawa...!
#Covid_19 ni zaidi ya ugonjwa!
#Covid_19 ni vita ya kufa, kupona na kuishi!
 
Hapana mpwa sidhani shida ni washauri, kuna yake binafsi anayaongezea kwenye ushauri anaopewa na hapo ndipo uharibifu hutokea na kubadirisha maudhui yote ya jambo husika
Msiwe wasahaulifu kumbukeni kikokotoo alivyo waachia manyoa
 
Kitaalamu hakuna hii kitu,ndio maana na yeye anakomalia kwamba siasa inatumia,maana mkienda hvivi anawaleta huku halafu nyie mnarudi palepale,yani kweli upeleke damu ya kuku,daktari aipime aseme Una ukimwi,kweli.
Kama ni hivyo majasusi wangekuwa wana feli sana.
Tatizo letu watanzania huwa tuna haraka na mihemko ya kudeal na matatizo yetu,kweli upime DNA ya nyani halafu itoe matoke ya nyangumi aaaaah GIGO,GIGO bwana.
Tusipojifunza jinsi ya kutumia saikolojia tutateswa sana,hebu tubadilike kidogo,tusiende kwa sababu tumepelekwa upande fulani,unajua siasa ni kama mchezo wa karate,mwenzako akirusha ngumi siyo lazima kuzuia kwa mkono,zuia kwa teke
Ninga alichosema ni sahihi.Mashine zingine zinakuwa commanded kutoa majibu ya aina 2 tu positive au negative.Hata wewe kuna vipimo vya mimba vinaweza kuonesha kuwa ana mimba ya miezi 8.Baadhi ya vilivyo advance vinasoma" error" kma kama ukiweka unwanted output.Ni vema kutafakari na kujua mashine hizi zinafanyaje kazi kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom