Mkuu wanasemaga usilolijua ni kama usiku wa Giza apo apo tunachakachua tena ukipata mda nipm nikupe maujanja ya hao hapo mie nimeshausha vitu toka mornin bureeeeee.. sasa nimefika kama mb 800 hivi speed kubwa hehe :A S embarassed:
Mkuu wanasemaga usilolijua ni kama usiku wa Giza apo apo tunachakachua tena ukipata mda nipm nikupe maujanja ya hao hapo mie nimeshausha vitu toka mornin bureeeeee.. sasa nimefika kama mb 800 hivi speed kubwa hehe :A S embarassed:
airtel wanatakiwa kuja na unlimited package mwaka mpya mambo mapya ningekuwa waziri wa technology ningefuta hizi package za mb mitandao yote
ni kweli preta, nilijiunga bundle ya 400MB mwezi uliopita tarehe 16 hivi ndo imeisha jana na kila nilipocheki salio ilisema "you have used 0MB out of your 400MB, remaining balance is 400MB" hivyo nikajiamulia kuDownload kwa fujo, mpaka jana ilipokata nimedownload more than 100GB of data ndani ya mwezi nanusu, nimejaribu kujiunga tena leo naona wanakata kama kawa cjui wamesanda au lol',,,, kama yako bado ipo active nakushauri uitumie vizuri au kamavp kuna episodes zipo pending hapa kwangu ntakuPM uniazime line angalau nizimalizie,,,, :lol: :lol:mi naona toka nijaze salio la bundle 400mb toka juzi.....naona salio lipo pale pale.....labda ndio hiyo.....
:lol::lol::lol: karibu Tigo mkuu ndo twafaidi hivoni kweli preta, nilijiunga bundle ya 400MB mwezi uliopita tarehe 16 hivi ndo imeisha jana na kila nilipocheki salio ilisema "you have used 0MB out of your 400MB, remaining balance is 400MB" hivyo nikajiamulia kuDownload kwa fujo, mpaka jana ilipokata nimedownload more than 100GB of data ndani ya mwezi nanusu, nimejaribu kujiunga tena leo naona wanakata kama kawa cjui wamesanda au lol',,,, kama yako bado ipo active nakushauri uitumie vizuri au kamavp kuna episodes zipo pending hapa kwangu ntakuPM uniazime line angalau nizimalizie,,,, :lol: :lol:
Mkuu mimi hujani-pmYona edson na bakuza chekini pm zenu.
Ndugu yangu nifundishe hayo maunjanja ya 800 mb my email petermichael74@gmail.Com unafanyajeNipe maujanja ya internet ya tigo ndugu
dah mkuu nlikuwa sijui hilo, ubarikiwe sana bhana nakula spidi ya hatari hapa cjawahiona,,,,, safi sana:lol::lol::lol: karibu Tigo mkuu ndo twafaidi hivo
Yani mkuu k2 kinapiga mzigo lyk neva before chk kama apo netwk iko poa na pia jaribu line nyngne coz nko nawatch mvi in hd hapa online bla shakaMkuu e2themiza...naona wajomba wameshituka cjui au ni kwangu tu, yaani nikifanya maujanja in kubali lakini baada ya sekunde kama 30 hiv inakata mawasiliano ukijaribu kukonekt tena inajibu error in conn and blah blah...wadau wenginecjui vp kwenu? bado mnendelea kupiga mzigo au.....updates plz
dah mkuu nlikuwa sijui hilo, ubarikiwe sana bhana nakula spidi ya hatari hapa cjawahiona,,,,, safi sanaoa oa
"pm" ni Private Message,,,Mnafanyaje na nini maana ya pm na mimi nitumie zain net bure