Kuhusu ofa ya internet ya airtel

dah..!!! leo kitu cha tigo kipo slow mbaya yani inaandika HSDPA ila download speed ni ya EDGE si jui wenzangu imewakuta hii
Umeme ukja ntaweka hacks mpya Tigo wamelimit speed katk hi package but haha naona they cant stop us.. Subiri subiri mda mda ntafungua threadz ya v2 vlvochakachulka so far ni mtandao mitatu.. Utafaidi tu na huu mwaka uishe vzur.
 
MAZEE TIGO WMASHTUKIA NI KAMA 1 HOUR HIVI IMEPITA ILE KITU HAIKUBALI TENA :A S embarassed: OH WELL KWA WALE AMBAO BADO BUNDLE IKO INAFANYA KAZI BADO USE IT WISELY COZ ITS THE LAST.
 
Hata mie tangu juzi spidi ilikua mdogo mdogo....hv ni tigo na airtel tu ndo wanatoa ofa vipi vodacom kwa anko Rostam wana ofa zozote au nao kimya
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom