Kuhusu ofa ya internet ya airtel

Mkuu wanasemaga usilolijua ni kama usiku wa Giza apo apo tunachakachua tena ukipata mda nipm nikupe maujanja ya hao hapo mie nimeshausha vitu toka mornin bureeeeee.. sasa nimefika kama mb 800 hivi speed kubwa hehe :A S embarassed:

2juze mwana
 
Nipe maujanja ya internet ya tigo ndugu
 
mi naona toka nijaze salio la bundle 400mb toka juzi.....naona salio lipo pale pale.....labda ndio hiyo.....
ni kweli preta, nilijiunga bundle ya 400MB mwezi uliopita tarehe 16 hivi ndo imeisha jana na kila nilipocheki salio ilisema "you have used 0MB out of your 400MB, remaining balance is 400MB" hivyo nikajiamulia kuDownload kwa fujo, mpaka jana ilipokata nimedownload more than 100GB of data ndani ya mwezi nanusu, nimejaribu kujiunga tena leo naona wanakata kama kawa cjui wamesanda au lol',,,, kama yako bado ipo active nakushauri uitumie vizuri au kamavp kuna episodes zipo pending hapa kwangu ntakuPM uniazime line angalau nizimalizie,,,, :lol: :lol:

35kscyb.jpg
 
:lol::lol::lol: karibu Tigo mkuu ndo twafaidi hivo
 
Mkuu e2themiza...naona wajomba wameshituka cjui au ni kwangu tu, yaani nikifanya maujanja in kubali lakini baada ya sekunde kama 30 hiv inakata mawasiliano ukijaribu kukonekt tena inajibu error in conn and blah blah...wadau wenginecjui vp kwenu? bado mnendelea kupiga mzigo au.....updates plz
 
Yani mkuu k2 kinapiga mzigo lyk neva before chk kama apo netwk iko poa na pia jaribu line nyngne coz nko nawatch mvi in hd hapa online bla shaka
 
hey guys embu sambazeni maujanja basi. Brakelyn can u plz pm me abt that mpango?
 
dah..!!! leo kitu cha tigo kipo slow mbaya yani inaandika HSDPA ila download speed ni ya EDGE si jui wenzangu imewakuta hii
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom