Taifa halina vijana limedorora! wengi ni waoga na wanafki.
walio wanafki wamo ndani ya nchni wakijifanya wapenzi wa CCM na wafuasi wa Mafisadi kwa kila hali, huku waogo wamekimbilia nje ya nchni wachache wao wamo ndani ya nchni lakini hawana uwezo wakuongea wala kuhoji lolote wametekwa na wamedhoofika kiakili.
Kikwete amemaliza kazi yake mjinga ni Polisi, UWT, JWTZ, Lowasa na Wakristo waliopo CCM wote, sasa umeundwa Mtandao wa Makamba, Omary, Rizi, Jamaa mmoja wa CDM, Jussa nk.
Ila kwangu mimi naona ni wakati muhafaka ni critical point, siku zote ujinga wa wanasiasa ni kuvuruga nchni wakati wao ndio wana vyakupoteza kuliko wale wanaowatibuwa, tusubiri tuone nani atapoteza, labda wakimbilie Oman na Iran kama walivyofanya wale wa wakati Mapinduzi ya Zanzibar maana wengine tayari tunaona watoto wao wanawekeza polepole Urabuni ila wajue Dunia ya leo siyo ya Jana. yupo wapi Qadhaffi na makochi ya Dhahabu na msururu wa mabikira?!