Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

Hata kama alificha baadhi ya ukweli kuhusu richmond, hastahili adhabu ya kifo hiki cha umafia.
Tunatangaza ole kwa kifo chake.

Ole Ole Ole.

Ole kwa kumuua huyu. Ole kwa kumuua Dr. Slaa.
Ole kwa kumuua MWANDOSYA. Nchi haitakalika hii.
Mafisadi wanaleta ya Rwanda. Hapa itakuwa matajiri vs masikini
Tz kila kitu kinawezekana,hata hao wakiuwawa leo hamna chochote kitakachotokea zaidi ya kusononeka na kulaumu,watz kama vile tumelaaniwa.Kuna mambo mengi ya kuufanya tu riot lakini tupo tv tunatumbua macho,uoga kibao...Jitu kama katiba mpya hakikuwa ni kitu cha kuhachia govt ipumue,na huo ni mfano mdogo.Watz ni wepesi kughilibika,nirahi7i ukawatoa kwenye jambo lolote la msingi kwa kitu ambacho hakina hata mashiko na wote wakaelekea huko,hii viongozi wetu wanajua kuitumia.Hebu tuwe serious japo kidogo.Vinginevyo hatuna chetu bongo hii.
 
Stori za kupikwa bwana!!! Huyo mganga ana dawa huko Selous ya kuogopewa zaidi ya mungu? Labda uranium poisons Mwakyembe ni msanii tangu alipoichunguza Richmond bila ya kudeclare yeye mwenyewe mwanahisa katika kampuni ya ufuaji umeme wa upepo mie nimetokea kutomwamini kabisa mwanasiasa huyu. Labda tu ameathirika na dawa fulani (kwani Exfoliative Dermatisis) sometimes inasababishwa na dawa ikikudhuru (medicine allergy) but hili la conspiracy kutaka kumuua mh naona kama ni hadithi za kusadikika.
 
Harakati ndivyo zilivyo hata wakimuua mwakyembe sio mwisho wa mapambano mbona hata huku kwetu walimuua chacha wangwe akipinga uchaga ndani ya chama na sasa ameibuka mpambanaji mwingine shibuda anaepinga uchama kampuni ya mbowe na kutaka chama kiwe taasisi japo wanamwita msaliti ili kupotosa umma.
 
Kutokana na maelezo haya ambayo ni ya muda kidogo, Mwakyembe alichoomba hakupata ulinzi na uchunguzi wa kina kuhusu njama hizi!!!hata hayo yanayomkuta kwa sasa ni njama za kummaliza tu maskini. Tz sijui tunaelekea siasa chafu kama hizi ufisadi wa hali ya juu wanasahau kuwa hawataishi milele na wakifa hizo mali na mipesa na majumba and all the might that they have hawatazikwa navyo wataenda kama walivyozaliwa...Pole Mwakyembe Mungu akujalie afya urudi nyumbani ukiwa umepona tuendeleze vita vya mageuzi
 
Leathal death....tuombee isitokee hivo manake hapatakalika, i know people of mbeya.....
 
Harakati ndivyo zilivyo hata wakimuua mwakyembe sio mwisho wa mapambano mbona hata huku kwetu walimuua chacha wangwe akipinga uchaga ndani ya chama na sasa ameibuka mpambanaji mwingine shibuda anaepinga uchama kampuni ya mbowe na kutaka chama kiwe taasisi japo wanamwita msaliti ili kupotosa umma.

kwenu wapi mwehu wee! kama kuna uchaga wee wasubiri nini? hata logical huna, si uhamie chama unachoona hakina uchaga?
 
Siwezi kushangaa kua eti mpaka leo hakuna hatua zozote zilizochukuliwa.
Kwani hata Reginald Mengi alishawahi kutoaga tuhuma dhidi ya Kamanda mkuu wa kuzuia Madawa ya kulevya Bw. Nzowa kutumika na kina YM katika mpango wa kum'bambikia kesi ya Madawa ya kulevya mwanae,
Tena nae akatoa mlolongo wa matukio na ushahidi mrefu tu, but kik wapi?
Cha ajabu mpaka leo suali limeishia hewani.
 
Mie ningeshauri:
  1. Mengi fadhili mikutano ya wapinzani ili wawaelimishe wananchi juu ya kutokupokea virushwa (1000-5000) kwa ajili ya kuipa kura CCM
  2. Wenye influence wahamie chama chenye nguvu (CDM) waendeleza mapambano
  3. Wana JF tuongeze kasi ya mapambano, tuwazibue mafisadi wote.
 
Hakika mungu amekutendea makuu dr. Mwakyembe coz Manya wa songea na sheikh Yahaya wote wametangulia mbele za haki. Mungu atakulinda.
 
Inaonekana ni ukristu zidi ya Uislamu maana kati ya walengwa sioni akina Zito na waislamu wengine ambao huwa mwiba kwa serikali inapovurunda.
Sasa nimeanza kumkumbuka Mwalimu juu ya udini na ile speech yake
 
Hii habari si mpya ilishawahi kutolewa hapa jamvin lakin hata hivyo tunashukuru kwa kutukumbusha naamini ugonjwa wake hautofautiani na habari hii, hii inamaana jeshi la polisi halikufanyia kazi tuhuma hizi na wala halikumpa ulinzi unaostahili na ndo maana hali hii imemkuta. Kwa ugonjwa unaotajwa kwa kawaida mtu angalau huwa anakuwa na historia ya kupata allergy ya mtindo huo, coz source zote zinaonyesha ana exfolative dermititis kulingana na visababishi toka utotoni hadi sasa lazima angesema anahx ya allergy kama imemkuja ghafla basi yawezekana kabisa inauhusiano na hii scenario. Lakin hakuna siri chini ya jua tutajua tu. Mungu umjalie afya njema Dr Mwakyembe na Prof. Mwandosya wapone haraka waje tulijenge Taifa.

Ukisoma hiyo taarifa unaona kabisa hata jeshi la polisi linahusika kwa namna moja au nyingine kwa sababu katika magari yaliyohusika kuwabeba hao wauaji na gari la jeshi la polisi linatajwa. Kwa hiyo sio ajabu kwa nini upelelezi usifanyike inaeleweka.
 
Hii HAIKUBALIKI, WAPENDA TANZANIA WOTE LAZIMA TUSHIKAMANE KUTOKOMEZA BALAA HILI.

1. TUKATAE USHIRIKINA kwa kumtegemea MUNGU. Tuukatae MWENGE kwani kunauwezekano mkubwa wa kuwa na DAWA YA KUTUPUMBAZA WATANZANIA-kama ilivyo elezwa hapo juu.
2. KUNDI LA AL-SHABAB linatumiwa na serikali ndo maana intelijensia ya Mwema haijatoa riport yeyote kuhusiana na madai haya.
3. UCHAWI imekuwa ni sehemu ya maisha ya Viongozi walioko madarakani, hasa wenye imani moja na hao Al-Shabab.

Namshukuru Mungu Sheikhe aliyekuwa anashirikishwa katika mpango huu kwa kupiga ramli alikwisha tangulia jehanum kabla ya walengwa, inawezekana kabisa hata Dr. Slaa kupata ajali ya kuangukia mkono ulikuwa ni mpango wa wachawi hawa.

Wapendwa katika Kristo Yesu, madai hayo ya Dr. Mwakyembe yana ashiria UDINI umekuwa moja ya kigezo mpango mzima. TUSIMAME WAPENDWA!
 
“Suala la msingi hapa, si uhai wangu, kwani iko siku lazima nitakufa kama ambavyo hao mafisadi wanaodhani wanaweza kufadhili vifo vya wenzao watakavyokufa hata wao hatimaye, watake wasitake, hakika ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom