Kuhusu mtandao wa BOL

sidhani kama wamerudi ngangari, bado wanausanii
 
Feedback muhimu kaka
Baada ya kujaribu unlocked modem kama mbili bila kupata signal nikajaribu na ile unlocked ya safaricom.., pia hakuna signal, nikajaribu universal modem ambapo nikapata signal ila speed ya kinyonga..., nimeamua kuachana nayo. In short am not impressed at all. Nadhani hii line itagua inachagua sana modem sababu hata hizi line ukiweka kwenye simu ya kawaida na sio smartphone hata signal hupati. In short kwangu hawa jamaa the jury is still out na inabidi wajitahidi sana kama wapo serious na wanataka kuteka soko.

Anyway nimerudi kwenye kununua bundle zangu za aina mbili..., nachukua bundle la bei rahisi la kutumia mchana kwenye mambo madogo madogo..., na kama nataka ku-download usiku baada ya saa tatu naweka TTCL Banjuka ya 650 unlimited kwa saa..., in that time nakuwa nimefanya jambo la maana
 

Kaka hii nimeipenda kuhusu ttcl. Unaweza kutupa na bei za bundle zingine za ttcl?
 
Kaka hii nimeipenda kuhusu ttcl. Unaweza kutupa na bei za bundle zingine za ttcl?
Nadhani kwa Bundles nyingine hawana sana tofauti na wengine kwa bei:-
WIRELESS INTERNET PACKAGES http://www.ttcl.co.tz/Tariff.asp

Very flexible payment options in convenient different packages that offers top-speed access to the web and all web-based content and applications

[TABLE="class: tablebottom, width: 100%, align: center"]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: tabledata, width: 192, bgcolor: #FFF300, align: center"]Package Type[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 219, bgcolor: #FFF300, align: center"]Package Volume[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 252, bgcolor: #FFF300, align: center"]Price Per package[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 251, bgcolor: #FFF300, align: center"]Activation Code[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: tabledata, width: 192, align: center"]Daily (24 hours)[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 192, align: center"]100MB[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]600 TZS[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 251, align: center"]*201*1#[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: tabledata, width: 192, align: center"]Weekly (7 days)[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 192, align: center"]1.5 GB[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]7,500 TZS[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 251, align: center"]*201*2#[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: tabledata, width: 192, align: center"]3 GB[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]12,500 TZS[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 251, align: center"]*201*3#[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: tabledata, width: 192, align: center"]Monthly (30 days)[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 192, align: center"]1.5GB[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]12,500 TZS[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 251, align: center"]*201*8#[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: tabledata, width: 192, align: center"]3 GB[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]18,000 TZS[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 251, align: center"]*201*9#[/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="class: tabledata, width: 192, align: center"]5GB[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 219, align: center"]28,000 TZS[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 251, align: center"]*201*10#[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ila Kwenye Banjuka ambayo kujiunga lazima upige simu customer service, kwangu mimi ambaye ni heavy user nikiwa nina mambo mengi ya ku-download nangojea after saa tatu basi nina-download mambo yangu

[h=3]BANJUKA SERVICE[/h][h=5]With this service customer enjoy unlimited download and upload at fixed discounted rates according to time bands.[/h]

[TD="class: tabledata"] Time Band
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 219, bgcolor: #FFF300, align: center"] Price (TSH)
[/TD]

[TD="class: tabledata, width: 251, align: center"] 06 :00 AM � 06:00 PM
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 251, align: center"] 1,300.00
[/TD]

[TD="class: tabledata, width: 251, align: center"] 06:00 PM � 09:00 PM
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 251, align: center"] 1,050.00
[/TD]

[TD="class: tabledata, width: 251, align: center"] 09:00 PM � 06:00 AM
[/TD]
[TD="class: tabledata, width: 251, align: center"] 650.00
[/TD]
 
09:00 PM � 06:00 AM 650.0

hapo ni unlimited kweeeeli au ndo kuna time na data caps ndugu yangu maana inaanza kunivutia.. na pia line ya ttcl naweza kuipata na kuitumia katika unlocked modem???
 
09:00 PM � 06:00 AM 650.0

hapo ni unlimited kweeeeli au ndo kuna time na data caps ndugu yangu maana inaanza kunivutia.. na pia line ya ttcl naweza kuipata na kuitumia katika unlocked modem???
Nadhani inategemea sehemu ulipo kama signal yao ipo poa, nadhani mijini pote wana signal nzuri alafu ni unlimited kweli kwa hilo saa na speed ni nzuri unaweza hata uka-stream bila shida.

TTCL modem zao ni kama za Zantel hazina line inabidi ununue modem (last time nilivyocheki modem ilikuwa elfu 29) lakini inakuja na bonus ya elfu kumi na nne za bundle.., ila kumbuka kujiunga Banjuka inabidi uwapigie simu wakuunganisha huwezi kujiunga mwenyewe.
 
Hawa jamaa hawafai kwenye modem line inagoma hata kwenye some smartphones kama tecno inagoma hizi line zinachagua sana simu line yangu nimeeitupia kapuni
 
nahisi hawa ni kwamba hawana 3g kabisa mana hapo una roam tu kuna signal ya mtandao mwingine wenye 3g inaelekea unatumia mana kwa Dar kuna mda ukitumia zantel kwa 3g kama signal ipo ovyo unakuta ina roam kwa airtel
 
Sasa hv wanaitwa SMART! Jamaa wamerudi vizuri (unaweza refer to makampuni yote ya AKFED). Wana ofa za kufa mtu ... ndio habari ya mjini kwa sasa!

kama ndio hivyo usemavyo nawapa hongera na kuwatakia mfanikio mazuri. :wave:
 
Sasa hv wanaitwa SMART! Jamaa wamerudi vizuri (unaweza refer to makampuni yote ya AKFED). Wana ofa za kufa mtu ... ndio habari ya mjini kwa sasa!
Mkuu una-uhakika na unachokisema ?, Nadhani kwenye issue kama hii mtu kutumia fedha zake ni bora tukiwa na uhakika kabla hatujamshauri mtu ikawa ndivyo sivyo
 
kumbe kuna mtandao mpya acha nami nikannunue nione ukoje?

halafu weweeeeeeeeeeee

rejea somo kule :A S-alert1:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…