Mapondo Mapoka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 274
- 135
Wadau,
Nimekuwepo hapa Moro town kwa zaidi ya miaka 4 lakini hapo awali nimekua nikiishi nakusoma hadi high school huko mikoani. Nikiwa huko mikoani nidhahiri watu wamekua wakiisifu moro kua ni mahali pazuri sana, pana karibia kuwepo na kila aina ya starehe,majengo mazuri na vingine vingi.
Nikweli Moro mfano kwa wasafiri wakifika round about ya msamvu panamandhari nzuri nayakuvutia kwani inadaiwa msamvu ndio round about nzuri na kubwa kwa hapa Tz, pia Moro kwa tafiti ndogo nilizozifanya watu wa mikoa mingine hupaona Morogoro mahali fulani pako vizuri sana.
Kwa mimi nilichokiona moro nipakawaida tu nisawa tu au hata kuzidiwa na manispaa zingine, miundo mbinu na sehemu za vitega uchumi kiukweli bado sana yaani nitofauti sana Moro inavyotafsiriwa na watu ambao huwa wanapita tu bila Msamvu.
Tulitegemea Moro pengine kwa kua iko karibu na Dar mkoa wenye makao makuu ya shughuli nyingi zenye tija pia ianunganisha barabara kubwa za kuelekea kusini,kaskazini na Magharibi basi pangekua na vitega uchumi vikubwa na vyenye tija lakini bado mambo yanayofanyika ya kawaida sana.
Sijui wewe mdau unauzungumziaje mkoa huu mji kasoro bahari?
Nawasilisha.