Kuhusu mifuko inayoitwa "Shangazi Kaja"

Kuhusu mifuko inayoitwa "Shangazi Kaja"

Huku Kalemii na Kivu Batu ya huku inaita "Osuofia"
 
Aisee nakumbuka nilikua nimekishika mkononi vile vidogo, kikatokea kidada kikaniambia, wewe kaka takataka tunatia mule (na kisauti Cha kubana Kama wema sepetu)nikaona huyu ananichukuliaje,
Nilimkata jicho mpaka kikaanza kuchekacheka,


🤔hivi vidada vikipata kazi pale vinajihisi Kama vinamiliki ndege🤔
 
Ila ni mazuri kwani yana nafasi ya kutosha, mazaga mazaga kama yote unapakia
Ni mazuri lakini wala si imara kabisa ni mepesi kuchanika sana hasa haya ya siku hizi mengi mabovu ila yale ya zamani yalikuwa magumu sana
 
Miaka ya 90 Waghana wengi walihamia Nigeria kutafuta rizki. Kulitokea mgongano wa kidiplomasia kati ya nchi zao hivyo Waghana ilibidi warudi kwao. Kitendo hiki kilikuja ghafla hivyo wengi walibeba mizigo yao katika mabegi haya. Yalipewa jina “Ghana must go”.
 
Miaka ya 90 Waghana wengi walihamia Nigeria kutafuta rizki. Kulitokea mgongano wa kidiplomasia kati ya nchi zao hivyo Waghana ilibidi wadudu kwao. Kitendo hiki kilikuja ghafla hivyo wengi walibeba mizigo yao katika mabegi haya. Yalipewa jina “Ghana must go”.

Yes Hata mimi nakumbuka inaitwa “ Ghana must Go” , yan kuna mda ilikua too much mpaka aiprt ya Dubai wakazi ban
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom