Kuhusu mifuko inayoitwa "Shangazi Kaja"

Kuhusu mifuko inayoitwa "Shangazi Kaja"

Habari zenu wakuu.
Kuna mifuko fulani mikubwa inafanana na viroba vile vya kuhifadhia unga wa mahindi ila yenyewe inakuwa na rangi na michoro au picha kutia nakshi na urembo; maarufu SHANGAZI KAJA.
Nimekaa nikatafakari, ina maana shangazi zetu wanapotoka vijijini kuja mjini ndo hubeba humo nguo zao? Kwa hiyo ukiliona tu ndani fuko hilo kubwa unajua leo SHANGAZI KAJA.
Yaani shangazi, dada yake baba. Mtu wa heshima kabisa. Amedhalilika kabisa kiasi mfuko wake wa kubebea mazaga tumeupa jina hilo. Maskini shangazi.
Asee dada huko kijijini, ukitaka kuja mjini usiniombe nauli tu. Omba na pesa ununue bag zuri ili ukija uweke heshima. Hii itawafanya wapwa zako (wanangu) wakose cha kusema.
Au kuna sababu zingine za jina hilo. Kwanini shangazi kaja?
View attachment 1202793
Mkileta ukorofi nitakwenda kuwapiga shangazi zenu.
 
Kule Kanda ya Ziwa mikoa ya Mwanza, Mara, Geita mifuko hii huitwa ASANTE UKEREWE.
 
[emoji23][emoji23]watu wa kigoma wamenijia juu
Wee ndio unaonekana wa kuja mjini maana hata vituo huvijui. Endeleeni kuwasema vibaya ila those smart and Hustlers peoples wanazidi kuchana mawimbi kwa juhudi zao binafsi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom