Kuhusu mechi ya Yanga vs simba

Kuhusu mechi ya Yanga vs simba

mhogoz

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,347
Reaction score
2,229
Mechi hiyo kama itachezwa ,Yanga ataongoza kwa magoli la mapema kabisa,baadaye Yanga watapata penalt ya halali kabisa.mashabiki wa simba wataingia uwanjani na mchezo kuvurugika.
 
Mechi hiyo kama itachezwa ,Yanga ataongoza kwa magoli la mapema kabisa,baadaye Yanga watapata penalt ya halali kabisa.mashabiki wa simba wataingia uwanjani na mchezo kuvurugika.
Half time mashabiki kadhaa tulienda kujisaidia chooni.
Sasa amka ufue mashuka
 
Mechi hiyo kama itachezwa ,Yanga ataongoza kwa magoli la mapema kabisa,baadaye Yanga watapata penalt ya halali kabisa.mashabiki wa simba wataingia uwanjani na mchezo kuvurugika.
Mzee shekhe yahaya naona umefufuka again.
 
Usipuuzwe hii mechi ingefaa ichezwe bila mashabiki au wawe wachache sana kama zinavyokuwa mechi za Cairo maana Simba wa Sasa chini ya Zubeda akili wametupa mbali sana wanaendeshwa kwa hisia (refer mechi na Berkane walivyoaibisha Zanzibar tena hadi kigogo mpiga simu nae akaandika shudu mtandaoni)
 
HAYA MAMBO YA KIPUMBAVU YA SIMBA NA YANGA YAMEWAFANYA WATANZANIA WENGI KUWA WAJINGA ZAIDI NA WASIOJITAMBUA..MODES FUTA TAKATAKA HII.
 
Back
Top Bottom