Mkumbizi
Senior Member
- Dec 31, 2013
- 171
- 26
Wiki hii tumepokea mabadiliko ya sifa kwa wanataka kusoma elimu ya juu kupitia TCU nimeona kuna mabadiliko tofauti na NACTE walivyotangaza na watu wakaomba.
Jambo ambalo linanipa sintofahamu ni kwamba mpaka sasa NACTE hawajatoa maelekezo kwa waombaji walioomba baada ya hao kutoa mwaliko wa wenye sifa kuomba ukizingatia kuanzia siku walipofunga mfumo walisema mara baada ya wiki ya tatu au ya nne watakuwa wametoa waliowachagua kulingana na sifa zilizotajwa.
Tafadhali kwa anaejua anaweza kusaidia je wanatakifa waombaji walioomba kupitia NACTE wafanye Maombi upya kupitia TCU,hapa mnatuchanganya na kutuchelewesha au hamuoni hiloo.