Kuhusu Maombi yaliyotumwa kupitia NACTE masomo ya elimu ya juu na mabadiliko ya vigezo

Mkumbizi

Senior Member
Dec 31, 2013
171
26
Wiki hii tumepokea mabadiliko ya sifa kwa wanataka kusoma elimu ya juu kupitia TCU nimeona kuna mabadiliko tofauti na NACTE walivyotangaza na watu wakaomba.

Jambo ambalo linanipa sintofahamu ni kwamba mpaka sasa NACTE hawajatoa maelekezo kwa waombaji walioomba baada ya hao kutoa mwaliko wa wenye sifa kuomba ukizingatia kuanzia siku walipofunga mfumo walisema mara baada ya wiki ya tatu au ya nne watakuwa wametoa waliowachagua kulingana na sifa zilizotajwa.

Tafadhali kwa anaejua anaweza kusaidia je wanatakifa waombaji walioomba kupitia NACTE wafanye Maombi upya kupitia TCU,hapa mnatuchanganya na kutuchelewesha au hamuoni hiloo.
 
Tatizo taasisi za tz hazifanyi kazi kwa ushirikiano,kila mmoja na lwake matokeo wanaoumia ni hawa waombaji.poor ushirikiano
 
alaf hiv vitu viliongelewa km masihara kabla tcu hawakutoa kitabu chao mara watu waseme huo ni uzushi now yamekua kwel
 
TCU Katika Tangazo lao La Wiki hii wanasema Hivi:-

"Application for Admission into all undergraduate degrees shall be through TCU only"

Anaebisha na abishe Kwa Ubishi Wake ila hio ndiyo Kauli Mbiu Yao.

NACTE imekula Kingi Mwaka Huu! Walioripuliwa 50 zao Waende Wakazidai ili Wawahi TCU.
 
NACTE wanadahili cert&diploma, kutokana na nacte vs tcu kama vyombo vinavyofanya kaz sawa kimajukumu namshaur rais wang dr john pombe magufuri kuviunganisha nakua chombo kimoja kwan had hapa tayar kuna ukinzan kat ya guidebook ya nacte na ile ya tcu nadhan vingeshirikiana yote yasingetokea pia kwa wale wasiokizi vigezo vya kusoma degree nashaur pia nacte warudishe fedha zao na kama haikua hivyo KAMA ADVOCATE ntajitolea kusimamia kes had kielewke
 
Kama mnakumbuka hata nacte walikwishatoa tangazo kusema kuwa wamesitisha kupokea maombi ya wanaotaka kwenda degree lkn kwa kpnd kile wanaoruhusiwa kuomba ni wale wanahitaji kujiunga kwa ajili ya cheti na diploma ingawaje waliruhusu hapo walipofungua mfumo alafu ghafla wakasitisha kwa upande huo na kuwataka wanaohitaji degree wasubiri mpaka pale kidato cha sita wa mwaka huu watakapotolewa matokeo yao nao wataruhusiwa kuomba lkn ndo kama hivyo kabla matokeo hayajatoka tayari utaratibu mpya ushatangazwa kwa hiyo mnaolalamika mliomba kupitia nacte na kwa ajili ya degree usiwe na wasi wasi kwani bado hata hao form six nao hawajaruhusiwa kuomba may be utartibu mwingine utatangazwa kwani nachoamini nacte wapo kisheria nao wana nafasi yao ktka udahili ila nadhani kwa mimi nilivyoelewa khs huo utaratbu wa tcu uliotoka ni kwamba form six watakaomaliza kuanzia mwaka huu watatakiwa kutuma maombi ya kujiunga vyuo vikuu nchini kupitia tcu na sio nacte
Nawasilisha
 
jifariji mkiambiwa somo hamsomi mnataka mtelemko sasa mtaisoma no imekula kwenu tcu hawana mchezo na nacte hawaruhusiwi chochote kwa degree
 
Tanzani kila mtu kambale halafu mkurugenzi wa TCU ni jipu lililoiva walizuga wanakusanya maoni ya watu halafu hayo ndo watasema maoni ya wananchi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom