Kuhusu maombi ya mkopo HESLB

Kuingia kwenye profile zenu za HESLB, ingia www.olas.heslb.go.tz. Kisha ingia 'Applicat's Loan Status'.

Kisha ingiza index namba yako ya form four. Halafu ingiza passworsds (ambazo ni herufi mchanganyiko zinazoonekana kwa kwa chini kidogo ya kibox cha kuweka passwords.

Hapo utakuta details zako i.e Jina lako, Chuo ulichochaguliwa, Course utakayosoma, Mwaka wa masomo na Loan Status yako ikiwa kama umepata au la.
Sawa mkuu sasa nimekwama kwenye security code sikumbuki kama nilipewa kwenye cafe
 
Kuweni na subra watanzania. Japokuwa ni dhahiri kuna mkanganyiko unajitokeza unapo log in kwenye profile yako.

Kwamfano; nilipotumiwa username na passwords Applicant na kulog in, nikakuta kitu cha ajabu. Ajabu yenyewe ni kwamba, Applicant anaonekana fomu yake haikukamilishwa kujaza ilhali huwezi kuprint fomu mpaka iwe imekamilika.

Ambapo details zinaonesha hakumaliza details za mdhamini, preliminary information na hatua zote za mwisho.

Ajabu ya pili, after a while nikalog in tena. Nikakuta fomu yake haina shida, imekamilika kama ilivyojazwa awali. Lakini inasema "You did not Applied for Loan 2016/2017 academic year"!

Na ajabu ya tatu, ili kujiridhisha nikatazama kwa mara ya tatu. hapa sasa imeleta " You have not Secured Loan." Status hii haioneshi chuo wala course alopangiwa kusoma japokuwa chuo amepata.

Sasa huwenda process nzima haijakamilika, ama vyuo/TCU haijakailisha kutuma majina ya wanafunzi walochaguliwa vyuoni.

Vuteni subra.
Umenena vyema mkuu, nadhani system haijakaa vizuri ndo maana tunakutana na sintofahamu hizo. Ngoja tusubiri pengine heslb wanaweza kutolea majibu.
 
dah "Did not apply for Higher Education Student's Loan for 2016/17 Academic Year"
 
Back
Top Bottom