TanzaniaLaw
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,298
- 482
Shame on you kukatalia kitu msichokijua wala hakiwahusu wala hakigusi maisha yenu ya kila siku !
Mna post ujinga tu kwa jambo msilolijua. Wala hamtaki kujua kuwa Kadhi Law imekuwepo wakati wa Tanganyika na currently ipo Zanzibar.
Sasa nini kinawasumbua nyie !?
Young man, we are talking about Tanzania and not Kenya.Kadhi Court imo katika Katiba ya Kenya, kaisome uone kama ujinga uliopost umo !
You are too low for me. You must be mixing me with some madrassatians who can't even spell Versace.
Young man, we are talking about Tanzania and not Kenya.
Muslim law regards women as less than men in matters of both marriage and divorce, as well as devolution of property: Holy Quran Surah 2:228-232, and Surah 65:1-7 (only a man may divorce his wife even if he is required to provide for her); a man may beat his wife, even if lightly, the evidence of two women, is equal to evidence of one man (Surah 2:282). The application of such beliefs of faith are contrary to the Constitution of Tanzania
Mtoa mada hebu fikiria kua isipowekwa waislam watapiga kura ya hapana,je unadhani nani atakua mshindi?
Usiogope haitawekwa,bunge hilo naona waislam ni wengi ila uzuri wao hawana sauti,ni watu wa kulalamika na kutusihi na kutuomba wakristo wachache waliopo ndani ya bunge wawaruhusu wawe na mahakama ya kadhi.
Kwa ufupi ni kua jambo lolote waislam wakitaka kufanya ni lazima watuombe ruhusa sisi wakristo bila kujali idadi yetu hata kama sisi ni wachache kuliko wao. Ni jambo zuri kwa kweli.
Kama mambo ya kadhi ni IBADA, kuna sababu gani ya kuhitaji polisi amlazimishe muumini kufanya mambo ya ibada?
Mbona polisi hawalazimishi watu kwenda kuswali? mbona polisi hawalazimishi watoto kwenda madrasa? Mbona ndoa zinafungwa kiislam lakini kwa hiari? Iweje sasa maamuzi ya kadhi (Ibada) yalazimishwe na polisi? Na hao polisi na taasisi zingine zitakazotumika ku-enforce maamuzi ya kadhi watakuwa waislam au wagalatia?
Niasidie haya machache bwana Ally Kombo
mkuu wanajificha kwa kuiogopa mahakama ya kadhi kisingizio eti itatumia kodi ya wananchi. sasa kwani waislam sio wananchi? wacha kodi itumike kama inavotumika kwenye bunge la katiba.You are too low for me. You must be mixing me with some madrassatians who can't even spell Versace.
MNAHANGAIKA BUREEEE.... Yaani imeshindikana kupatikana kwa kipindi hiki cha KIONGOZI MUISLAM sembuse ikubaliwe kipindi kijacho cha MGALATIA? waislam kwa hili la KADHI mujipange jinsi ya kupata ufumbuzi ikiwemo kwa kuangalia nani mnaona ATAFAA atawatendea na kutekeleza mahitaji yenu muhimu MUMCHAGUE HUYO. Ila kwa ccm msahau kabsaa.. hii ya KADHI ni kiini macho.
UGANDA Wanayo KADHI japo wagalatia ni wegi zaidi ya waislam. KENYA vivyo hivyo.. inakuwaje hapa tanganyika mnasuasua??!!! au ndio wanatekeleza ule mpango wa memorandum OF UNDERSTANDING
We ndugu haueleweki. Sasa hapa kwani unamuomba nani au unamdai nani hiyo mahakama ya kadhi. Mmesharuhusiwa muanzishe huko kwenye misikiti na taasisi zenu. Hamjakatazwa! Ila kwa kuwa katiba inaongelea watu wa dini,kabila,rangi na jinsia zote,mahakama ya kadhi haitoingizwa. Anzisheni kama wakristo,wahindu,mabudha,wapagani,machifu,wapagani nk walivyoanzisha mahakama yao na wanaiendesha wenyewe bila kugombana na yeyote. Hata wakristo hawapingi ninyi kuwa na mahakama ya kadhi. Bali muianzishe wenyewe,muiendeshe na muigharamie wenyewe. Hatuitaji kodi za wakristo,wapagani,wahindu,mabohora,mabudha,masingasinga nk ambao hata hawamjui kadhi,eti zilipie mahakama ya kadhi.Musiifanye ni jambo la watanzania wote mpaka eti liwekwe kwenye katiba.Mfano: Kwa wakatoliki na madhehebu mengi ya kikristo mwanamme akimuacha mkewe wa ndoa na kuchukua mwanamke mwingine,mwanamke akishtaki kanisani na mwanamme akionekana ana makosa,huwa anafungiwa kushiriki huduma zote za kanisa. Mwanaume huyu hata aende mahakama za serikali hatosikilizwa kwa hiyo hukumu. Sasa ninyi mnashindwa nini kuanzisha hiyo kitu mradi tu msikinzane na sheria za nchi? Au mnataka kuja kuwa juu ya sheria za nchi?.Kipi haujaelewa hapo?
Hicho kipengele hata kama kitapita Bunge la katiba wananchi wataikataa katiba nzima, nchi hii haina dini kitendo cha kurasimisha dini moja sharia zake ziwepo kwenye katiba hakikubaliki
Ukianza kuwafuatisha Kenya utataka pia mpinzani wako akuorodheshee nchi zisizo na mahakama ya KadhiTunazungumzia Kenya kama mfano, au Kenya si Nchi !?Nyie wanasheria mkitetea watu huwa mnatafuta 'authority' hata kwa kesi zilizo amuliwa India 19 hundred hukoo ! sasa cha ajabu nini kutajwa Kenya kuwa wao Katiba yao ina kipengele cha Mahakama ya kadhi. Na katika Kenya Wakiristu wanakimbilia 80% !
Kukataliwa na wananchi ni hatua ya pili !..........tutaipigia debe kama vile CCM wanavyoipigia debe serikali mbili !
Mtakalishwa chini mfundishwe nini Mahakama ya kadhi na kazi zake, na maswali yanajibiwa.
Serkali haifungamani na dini yoyote na haina sababu ya kuingiza vipengele vya dini katika katiba yake. Mwisho wa maelezo. Inallaah mswabrina wabilaghi taawfiq. Wabarakatu
wewe kichwa chako kibovu kweli! Kwani hizo biashara zinafanywa na wakristo tu au watu wa imani fulani tu!? Kwa kuwa mahakama ya biashara haihusiani na dini yoyote ila iko huru kwa watu wa imani zote na wasioamini hivyo si vibaya kutumia kodi zetu! si ajabu unaweza ukasema hata hizi mahakama za jinai nazo huzitaki kwa kuwa sio wote wanaofanya jinai! Wewe wa ajabu sana!
Dogo,
Hii nchi si yako ni yetu kwahiyo koma kama ulivyokoma na kuwa mtu mzima. Kama hautaki mahakama ya kadhi kalie huko au hamia kusiko na mahakama ya kadhi. Huwezi kututisha kwa kudai tuamue moja tushaamua mbona hujui hilo?
Serikali ya Kenya inafungamana na dini...? Hivi nyie makristo ya bongo mbona mimburula hivi...?
UK,Rwanda, Kenya, Uganda, SA...igeni basi hata kwa makafiri wenzenu wa nchi tajwa hapo juu
Hatutaki kitu kiingie kwenye katiba wakati hakina manufaa kwa taifa eti kisa magaidi wachache kitawanufaisha, hiyo katiba ni mali ya watanzania wote sio mali ya waislam, ndio maana tunahitaji kila kilichoandikwa kwenye katiba kiwe na maana kwa jamii na kisimkwaze mtu kuhusu imani yake, wala kabila lake.