Those are your own assumptions. In fact, it is you who believe in Idols to the point of allowing the Moon to chose a day to start fasting and a day to stop your fast.
You must be a moon worshiper.
Get a copy of Quran and read. Or a translation of Quran.
link Jesus preaching Jihad ..???? - YouTube
Allah No.. Muhammad wants that.. :bump2: Kill in the way of Allah. Ngoja niwaite Majembe wenginePursuant to the Islamic definitions, Shariah means a way of life, and it's the way that Allah(swt) wants Muslims to behave/live, therefore the Quran by default does include the Shariah although there is no verse to support that. But I also think (and have heard) that where Sharia Law has been implemented, some of it may have been changed and taken out of context.
So, I was wondering, does the Quran actually say that Allah(swt)'s creation, should stone a person to death?
cc: Nonda , Ally Kombo 2013 Eiyer Mkuu wa chuo
Copy ya koran!! kumbe hata asiyemwislamu anaweza kuipata?Get a copy of Quran and read. Or a translation of Quran.
link Jesus preaching Jihad ..???? - YouTube
Copy ya koran!! kumbe hata asiyemwislamu anaweza kuipata?
so mnataka iwepo kwenye katiba ili hao mnawaita makafiri wawajengee kwa kutumia kodi zao za Kitimoto
Those are your own assumptions. In fact, it is you who believe in Idols to the point of allowing the Moon to chose a day to start fasting and a day to stop your fast.
You must be a moon worshiper.
.........walijishaua kwenye kuchinja, leo wako wapi !?...........labda warudie kunywa kikombe cha babu !
Ni Yesu gani huyo?
Angalia asijekuwa miongoni mwa hawa hapa;
Mathayo 24:5
5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
Ni Yesu gani huyo?
Angalia asijekuwa miongoni mwa hawa hapa;
Mathayo 24:5
5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
poor you TanzaniaLaw !.........hujui tofauti ya kuabudu na kuangalia mwezi ! Nyie Mnaabudu jua, ndio maana Ibada zenu ni siku ya 'Jua' (Sunday)
Hivyo vyote vimeumbwa na mjuzi wa wajuzi Allah SWT.
'Yeye ndiye aliyekuumbieni vyote vilivyomo katika ardhi. Tena akazielekeza mbingu, na akazifanya mbingu saba. Naye (Allah SWT) ndiye Mjuzi wa kila kitu.
Qur'an: 2:29.
I don't believe in the Quran.Get a copy of Quran and read. Or a translation of Quran.
link Jesus preaching Jihad ..???? - YouTube
Allah did not create anything.
JE, NANI KAUMBA KIUME NA KIKE?
QURAN 92 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..
Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.
Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake?
QURAN 92 1-3Soma pole pole ama kwa kutulizanisha akili na si kwa ubishi, nakuhakikishia utafahamu uzuri.
Hebu anza kufanza tafakuri kunako hiyo aya ya kwanza, kisha ya pili na ukamilishe kwayo ya tatu.
Maana kwa ulizo lako, yaonesha hizo aayaati mbili za mwando mezifahamu uzuri,
Sasa kama hivyo ndivyo, shida/ kiwingu kimekugubika wapi hadi ulewe ufahamu...!?
Nipo kipembeni hapa.
I don't believe in the Quran.
QURAN 92 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..
Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba.Hebu pitia na aaya hizi, huenda ukaketi sawa.
Quran 89 aya 1-5
1: Naapa kwa Alfajr
2: Na kwa masiku kumi
3: Na kwa "shafi" na "witri"
4: Na kwa usiku unapopita
5: (Naapa nasema kuwa) kuna katika haya(kuonekana) kiapo kwa mwenye akili (akaogopa).
Tulia ukiwa unaitafuta haki na usieke ushabiki au kusoma nusu nusu pasi na kufanza Conclusion.
Ningali kipembeni hapa.
Quran forces people to believe Muslims Debate Who It's OK to Slaughter...You are not forced to believe. You need to understand what quran says first ,choice is yours to believe or not.
kuhusu baibo huwa wananunua . zinauzwa bei karibu na bure. hasa biblia za Gideoni. Naskia koran ili mtu aishike inabidi awe ametawadha sijui- nilikuwa na ustadhi nakaa naye alikuwa haweki kitu juu yake. na hataki iguswe na mtu wa kawaida. nauliza tu...Hii hapa:link Qur'ani Tukufu
Link 2. Surat Al-Fatihah - The Noble Qur'an - ?????? ??????
Unafikiri biblia inapatikana kanisani tu? Waislamu wanazipata wapi biblia?
kuhusu baibo huwa wananunua . zinauzwa bei karibu na bure. hasa biblia za Gideoni. Naskia koran ili mtu aishike inabidi awe ametawadha sijui- nilikuwa na ustadhi nakaa naye alikuwa haweki kitu juu yake. na hataki iguswe na mtu wa kawaida. nauliza tu...