Kuhusu mahakama ya kadhi

Kuhusu mahakama ya kadhi

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
527
Reaction score
596
Ndugu zangu mambo yanayoendelea huko bungeni kuhusu mahakama ya kadhi yanasikitisha sana. Inavyooelekea mahakama hiyo inaenda kukubalika kutokana na hoja zinazotolewa na ndugu zetu waislamu. Jambo hili linanitisha sana kwa sababu hakuna mtu anayepinga hoja hii, na kila mwakilishi wa kikristo akisimama anakwepa kabisa kuongelea jambo hili.

Mimi kama mwananchi wa kawaida kabisa, ninawatahadharisha kwamba iwapo mtajaribu kuweka jambo lolote linalohusu mahakama ya kadhi sisi WAKRISTO (CHRISTIANS) tutapiga kura ya hapana kwa katiba itakayopendekezwa. Nawahakikishia ndugu wajumbe wa bunge maalumu, hakuna mkristo atakaye iunga mkono katiba hiyo na haitopita.

Jambo hili tumelipigia kelele kwa muda mrefu kwamba mambo ya dini binafsi yaamuliwe na dini husika. Sasa wajumbe wanavyojitoa ufahamu na kusahu kwamba hii sio nchi ya kiislamu, waendelee kujadili dini yao na waipitishe, ila nina apa iwapo jambo la kadhi litakuwepo, basi ni kura ya hapana kwa wakristo wote.

Mwisho, naomba wajumbe wa BMK wajadili mambo ambayo hayaamshi hisia za kidini na wajikite kwenye hoja zinazogusa watu wote, wasipofanya hivyo na wakajisahau, basi wasije wakamlaumu mtu.
 
Nakuunga mkono mtoa mada.
Watu wanashindwa kuiendesha kivyao wanataka tuwasaidie kuianzisha, hatutaikubali maana nchi yetu haina dini
 
Mtoa mada hebu fikiria kua isipowekwa waislam watapiga kura ya hapana,je unadhani nani atakua mshindi?

Usiogope haitawekwa,bunge hilo naona waislam ni wengi ila uzuri wao hawana sauti,ni watu wa kulalamika na kutusihi na kutuomba wakristo wachache waliopo ndani ya bunge wawaruhusu wawe na mahakama ya kadhi.

Kwa ufupi ni kua jambo lolote waislam wakitaka kufanya ni lazima watuombe ruhusa sisi wakristo bila kujali idadi yetu hata kama sisi ni wachache kuliko wao. Ni jambo zuri kwa kweli.
 
Jambo hili si tulisikia limezikwa? Ukirejea mawasilsho ya kamati za BMK kamati zote hawakulitaja kabisa isipokuwa moja ya wawakilishi wa waliowachache. Naulizaje mleta uzi una jambo mpya tena embu funguka.
 
Hata katiba pendekezo ikija bila mahakama ya kadhi bila maridhiano tutaikataa tu!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
mm nashindwa kuelewa wanasema mahakama ya kadhi ni ya kuwagandamiza wanawake lakini bado wanawake wanaipigia kelele wanaitaka mm sioni umuhimu wake
 
Ndugu zangu mambo yanayoendelea huko bungeni kuhusu mahakama ya kadhi yanasikitisha sana. Inavyooelekea mahakama hiyo inaenda kukubalika kutokana na hoja zinazotolewa na ndugu zetu waislamu. Jambo hili linanitisha sana kwa sababu hakuna mtu anayepinga hoja hii, na kila mwakilishi wa kikristo akisimama anakwepa kabisa kuongelea jambo hili.

Mimi kama mwananchi wa kawaida kabisa, ninawatahadharisha kwamba iwapo mtajaribu kuweka jambo lolote linalohusu mahakama ya kadhi sisi WAKRISTO (CHRISTIANS) tutapiga kura ya hapana kwa katiba itakayopendekezwa. Nawahakikishia ndugu wajumbe wa bunge maalumu, hakuna mkristo atakaye iunga mkono katiba hiyo na haitopita.

Jambo hili tumelipigia kelele kwa muda mrefu kwamba mambo ya dini binafsi yaamuliwe na dini husika. Sasa wajumbe wanavyojitoa ufahamu na kusahu kwamba hii sio nchi ya kiislamu, waendelee kujadili dini yao na waipitishe, ila nina apa iwapo jambo la kadhi litakuwepo, basi ni kura ya hapana kwa wakristo wote.

Mwisho, naomba wajumbe wa BMK wajadili mambo ambayo hayaamshi hisia za kidini na wajikite kwenye hoja zinazogusa watu wote, wasipofanya hivyo na wakajisahau, basi wasije wakamlaumu mtu.

Kenya ni nchi ya kiislam...?
Uganda ni nchi ya kiislam..?
umburula tu unakuzingua
 
Nashangaa wabunge wa kislam kuangaika na mahakama ya kadhi ilihali kuna mambo muhimu ya waislamu hawayaongelei wanakomaa na kisicho na manufaa..kwanza iyo mahakama ata kwenye quran haijatajwa wala mtume hakuiliagiza sijui awa wanaosema ovyo wanaitoa wapi reference yao mbona Kenya mbona Uganda.....mahakama inayohukumu mwanamke akizini apondwe mawe ila mwanaume alozini nae apongezwe kuitwa shababi hatuitaki,itatuondolea amani yetu.
 
Mahakama ya kadhi inakuhusu nini? Mahakama ya kadhi inakuja kuondoa ukristo? Mahakama ya kadhi inahusu wa islam na uache kiherehere ya kufata wa islam. Kama unaona wa islam watafaidika na mahakama ya kadhi basi na nyinyi muombe mahakama ya kikristo. Na uache wivu wa kijinga kwa vile nyie hamna mahakama basi na wa islam wasipewe.
 
Uwe unauliza katika kila jambo usilolijua itakusaidia
 
Wakristo mnatuchosha sana! Hili tumejadili sana humu ndani, hamuelewi nini sasa!
 
Nakuunga mkono mtoa mada.
Watu wanashindwa kuiendesha kivyao wanataka tuwasaidie kuianzisha, hatutaikubali maana nchi yetu haina dini

Kweli we ni chapati! Una uwezo wa kumsaidia nani wakat maisha yako yenyewe ni ya kuvizia. Mahakama ya kadhi ni ya wa Islam na si ya Makafiri.
 
Kwanini mnataka sasa wakristo waichangie kutoka kodi zao za nguruwe.

Mimi iwekwe kadhi isiwekwe ntaikataa tu kwani haina uwakirishi unaostahili.
 
Nashangaa wabunge wa kislam kuangaika na mahakama ya kadhi ilihali kuna mambo muhimu ya waislamu hawayaongelei wanakomaa na kisicho na manufaa..kwanza iyo mahakama ata kwenye quran haijatajwa wala mtume hakuiliagiza sijui awa wanaosema ovyo wanaitoa wapi reference yao mbona Kenya mbona Uganda.....mahakama inayohukumu mwanamke akizini apondwe mawe ila mwanaume alozini nae apongezwe kuitwa shababi hatuitaki,itatuondolea amani yetu.

Angalia na huyu pimbi! Unataka wabunge waislam waongelee habari ya kanisa. Mahakama ya kadhi ni ya wa Islam na si ya Kafiri kama wewe. Na wewe omba mahakama ya kikristo.
 
Kwanini mnataka sasa wakristo waichangie kutoka kodi zao za nguruwe.

Mimi iwekwe kadhi isiwekwe ntaikataa tu kwani haina uwakirishi unaostahili.

Kwani wa Islam hawatoi kodi? Mahakama ya kadhi ni ya wa Islam na si ya makafiri.
 
Mahakama iendeshwe na wao wenyewe hapana kodi zetu na wao kwanini wasimalize kesi zao huko huko mskitini.
 
Mahakama ya kadhi inakuhusu nini? Mahakama ya kadhi inakuja kuondoa ukristo? Mahakama ya kadhi inahusu wa islam na uache kiherehere ya kufata wa islam. Kama unaona wa islam watafaidika na mahakama ya kadhi basi na nyinyi muombe mahakama ya kikristo. Na uache wivu wa kijinga kwa vile nyie hamna mahakama basi na wa islam wasipewe.

As long as mnataka iingizwe kwenye katiba ya wote basi lazima ituhusu. Mngelimaliza ili janga misikitini hakuna. asiye muislamu angeuliza. Muwe mnatumia akili sio kumeza kila sheikh anachosema.
 
Kweli we ni chapati! Una uwezo wa kumsaidia nani wakat maisha yako yenyewe ni ya kuvizia. Mahakama ya kadhi ni ya wa Islam na si ya Makafiri.

Hivi wewe mtu na akili zako timamu huoni kuwa itakuwa ni moral contradiction kuwa na mahakama ya kadhi, mfano leo unaona dhahir kuwa tumekuwa ndugu moja mpaka hata kuzaliana ktk dini tofautitofauti wakati mwingine hata pasipo kuoana sasa ikija hiyo mahakama yako na kudai watoto wa muislamu aliyezaa na mtu wa dini nyingine huoni kuwa hiyo kwanza italeta zogo maana muislamu atapeleka kesi kwenye mahakama ya kadhi na yule wa dini nyingine atalazimishwa kuingia ktk sheria isiyoendana na imani yake. Huh hiyo tosha inaleta mkaraganyiko?? kuna mifano mingi sana ambayo italeta tafrani ktk jamii yetu ambayo huenda hata ikahatarisha maisha ya watu. You need to be serious man!
 
Ndugu zangu mambo yanayoendelea huko bungeni kuhusu mahakama ya kadhi yanasikitisha sana. Inavyooelekea mahakama hiyo inaenda kukubalika kutokana na hoja zinazotolewa na ndugu zetu waislamu. Jambo hili linanitisha sana kwa sababu hakuna mtu anayepinga hoja hii, na kila mwakilishi wa kikristo akisimama anakwepa kabisa kuongelea jambo hili.

Mimi kama mwananchi wa kawaida kabisa, ninawatahadharisha kwamba iwapo mtajaribu kuweka jambo lolote linalohusu mahakama ya kadhi sisi WAKRISTO (CHRISTIANS) tutapiga kura ya hapana kwa katiba itakayopendekezwa. Nawahakikishia ndugu wajumbe wa bunge maalumu, hakuna mkristo atakaye iunga mkono katiba hiyo na haitopita.

Jambo hili tumelipigia kelele kwa muda mrefu kwamba mambo ya dini binafsi yaamuliwe na dini husika. Sasa wajumbe wanavyojitoa ufahamu na kusahu kwamba hii sio nchi ya kiislamu, waendelee kujadili dini yao na waipitishe, ila nina apa iwapo jambo la kadhi litakuwepo, basi ni kura ya hapana kwa wakristo wote.

Mwisho, naomba wajumbe wa BMK wajadili mambo ambayo hayaamshi hisia za kidini na wajikite kwenye hoja zinazogusa watu wote, wasipofanya hivyo na wakajisahau, basi wasije wakamlaumu mtu.

.
Viroba vya jua kali ni hatari kwa afya yako mtoa mada
 
Back
Top Bottom