Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,155
Huna cha kumlipa mbeba mimbazeshchriss ok taja kiasi cha chini unachofikiria kidogo ni fair mtu atoe
Huna cha kumlipa mbeba mimbazeshchriss ok taja kiasi cha chini unachofikiria kidogo ni fair mtu atoe
zeshchriss taja tu sio kwamba namlipa hapana siwezi kumlipa ila lazima nimjali maisha kwa kipindi hicho sema tu kama kiasi ganiHuna cha kumlipa mbeba mimba
Ukipata zaidi ya mmoja. Wengine waelekeze waje kwangu.Namlipa kila mwezi,nasubili atakayekuwa tiyari pm
NBNamlipa kila mwezi,nasubili atakayekuwa tiyari pm
ukienda kuolewa utakuwa umeenda ku bet kifo?Mi sipo huko, kubeba mimba ni kubet kifo.
Wangekua wanauliza vizur kabla ya kuleta mabandiko humu.Wanadhani kubeba mimba Sawa na kwenda dukani kununua mchele kuleta home....
Hah hapana hiyo kitu sio ngeni mbona,mimi baba yangu mdogo fulani anatumia hiyo njia sio mzee ni kijana tu wa makamo ila anatumia hiyo njia kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake.Atakaekubali kuzaa na wewe ni fafafa![]()
Niseme Kwani me nataka kugeuzwa incubator boss???? Hahahahhahahahaha mi siwezi kuzaa kwa mtindo huo mzee babazeshchriss taja tu sio kwamba namlipa hapana siwezi kumlipa ila lazima nimjali maisha kwa kipindi hicho sema tu kama kiasi gani
Basi nicheki PM madam charrote naona unataka hahahaha....Wangekua wanauliza vizur kabla ya kuleta mabandiko humu.
watu wanachukulia poa mkuu,ni ishu ya kawaida sana tukielewanaHah hapana hiyo kitu sio ngeni mbona,mimi baba yangu mdogo fulani anatumia hiyo njia sio mzee ni kijana tu wa makamo ila anatumia hiyo njia kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake.
Mtoto wake wa kwanza alizaa kimkataba kwa makubaliano ya kumjengea nyumba mama wa mtoto, amemfungulia biashara na miradi yake ya kimaendeleo kwa ajili ya kulea mtoto na sasahivi mtoto anamiaka mitano
Vivyo hivyo mtoto wake wa pili kwa mwanamke mwingine amefanya kama alivyofanya hapo juu mtoto ana mwaka mmoja sasa, kwahiyo ni ishu za makubaliano tu mbona sio jambo geni sana sema kwa watu waelewa ndo wanaelewa
Wana moyo hao wanawake mi siwezi..... Nishakataaga hiyo ofa ya hovyoHah hapana hiyo kitu sio ngeni mbona,mimi baba yangu mdogo fulani anatumia hiyo njia sio mzee ni kijana tu wa makamo ila anatumia hiyo njia kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wake.
Mtoto wake wa kwanza alizaa kimkataba kwa makubaliano ya kumjengea nyumba mama wa mtoto, amemfungulia biashara na miradi yake ya kimaendeleo kwa ajili ya kulea mtoto na sasahivi mtoto anamiaka mitano
Vivyo hivyo mtoto wake wa pili kwa mwanamke mwingine amefanya kama alivyofanya hapo juu mtoto ana mwaka mmoja sasa, kwahiyo ni ishu za makubaliano tu mbona sio jambo geni sana sema kwa watu waelewa ndo wanaelewa
Kwani baada ya miaka miwili kumchukua mtoto inaondoa ukweli kwamba yule ni mtoto wako? mbona tunachukulia hili suala kama haliwezekan wakati mtoto ni wetu soteWanadhani kubeba mimba Sawa na kwenda dukani kununua mchele kuleta home....
Nikiolewa means niko na mume ndani, anaona magumu ninayopitia na anayahisi. Ananitia moyo ,anajali tukipata mtoto ni wetu sote na mimi ninamamlaka kama mzazi, sio nahangaika peke yangu kisa nimepewa laki halafu bado nizae mtoto achukuliwe nikitaka kumuona nipewe masharti.ukienda kuolewa utakuwa umeenda ku bet kifo?
charrote hapo sasa nimekuelewa vizuri sana.Nikiolewa means niko na mume ndani, anaona magumu ninayopitia na anayahisi. Ananitia moyo ,anajali tukipata mtoto ni wetu sote na mimi ninamamlaka kama mzazi, sio nahangaika peke yangu kisa nimepewa laki halafu bado nizae mtoto achukuliwe nikitaka kumuona nipewe masharti.
Eeeh unaujua uchungu???Kwani baada ya miaka miwili kumchukua mtoto inaondoa ukweli kwamba yule ni mtoto wako? mbona tunachukulia hili suala kama haliwezekan wakati mtoto ni wetu sote
Mimi nilishafika ménopause baba ,mimba sasa hivi nazisikia tu.Basi nicheki PM madam charrote naona unataka hahahaha....
Mtoto wenu wote? Mbona kule juu umesema ukishamchukua atakuwa hana say juu ya mtoto?Kwani baada ya miaka miwili kumchukua mtoto inaondoa ukweli kwamba yule ni mtoto wako? mbona tunachukulia hili suala kama haliwezekan wakati mtoto ni wetu sote
safi sana aisee, nikikaa vyema ,ntafanya plan hii murua kama yako, awa viumbe pasua kichwa mnoNashukuru naona muitikio wa dada zangu inbox ni mzuri,tupo kwenye majadiliano na baadhi yako,Nipende kusema,Nimekuwa na wazo hili kwa miaka mingi hasa baada ya ndoa za sku hizo kutokueleweka na mambo mengine meng,Na nimefanya hivyo baada ya kukutana na baadhi ya wanawake wenye nia kama yangu.Ni jambo zuri lenye kuhitaji maelewano kati ya watu wawili.Nazidi kuwakaribisha pm ndugu zangu,Kingine hata baada ya kuchukua mtoto kutoka kwangu bado ataendelea kuwa mwanao tu.Asanteni