Unamlipa shi ngapi kwani.nione kama naweza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Namlipa kila mwezi,nasubili atakayekuwa tiyari pm
Mmh aya,ko ukimpiga afu mimba asipate unafanyejeMkuu,sijawahi kuoa waka sina mtoto,nipo serious sana na huo mpango.Nazidi kuwakaribisha dada zangu pm tuyajenge!
nilijaribu kuwapa mwongozo kdg,,,,, nna hakika PM umepata za kutosha....usiwe mchoyo kimya kimyaMkuu umeongea vizuri sana,nina uwezo wa kutosha wa kuhakikisha mama wa mtoto wangu anaishi vizuri kwa kipindi chote miaka miwili pamoja na mtoto wangu
Unaweza fanikiwa na kutimiza lengo lako lakini vipi je umefikiri kuhusu mtoto, maisha ya kukaa bila mama yake na kupata malezi na upendo wake baada ya hio miaka miwili
Hii kitu si rahisi kama tudhaniavyo. Kwanza lazima huyo mama awe ashazaa. Pili kuna hatari iwapo yai ni lakwake, huwezi kumpata kirahisi. Kama unataka mtoto na usipate usumbufu, fanya IVF na utimize masharti ya IVF ambayo ni kuwa wewe hupaswi kuona sura yake au kufahamu jina. Ni daktari pekee anayetakiwa kukujua wewe na huyo surrogate mother wa mtoto wako. Unashauriwa yai litoke kwa donor si kwake la sivyo pesa yako itaishia mahakamani kwa maloyanimepata mkuu,ntakuagizia!
Sheria inasema baba waweza kabiziwa Mtoto Mara afikishapo umri was miaka 7 na kuendelea
Habari za jumapili ndugu zangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada,Ndugu zangu nahitaji msichana yeyote atakaye kuwa tiyari kunizalia mtoto kwa mkataba kuwa anipe huyo mtoto baada ya kufikisha miaka miwili niendelee na malezi mwenyewe.
Kinaweza kikawa ni kitu kigeni hasa kwa tamaduni zetu za Kitanzania,Lakini nimeona nifanye hivyo maana naona umri unazidi kwenda na hamu ya kukaa na mwanamke inazidi kuisha.
Kuna X wangu mmoja baada ya kumuundia zengwe la uongo nikamuacha japo hataki kuachika,Amesema yuko tiyari kunizalia ili abaki na copy yangu,Ila kwa jinsi alivyo king'ang'anizi nimeona anaweza kuniletea balaa hapo mbeleni baada ya kujifungua kwa hiyo nimegoma kuzaa nae.
Ndugu zangu mambo ni mengi mda mchache,baada ya kukaa kwa mda mrefu nikaona nitumie hii njia kwa kujua kuna wasichana ambao kama nilivyo mimi hawapendi kuishi kwenye familia japo wanapenda kuwa na watoto.
Kama atajitokeza humu jukwaani,Lazima tupime afya zetu na nitakuwa tiyari kutoa kiasi kitakachowezekani kila mwezi kwa huo mda wa miaka miwili.
Natanguliza shukrani na maoni au michango kwa wale ambao walishawahi kufanya kitu kama hiki.
Sheria tz haziruhusuHabari za jumapili ndugu zangu.

una mbegu za kuzaa wewe?Hahahaaaaaa haya utanilipa sh. Ngapi ?![]()
ni Gentleman agreement mkuuSheria tz haziruhusu
Inatokea tu hatufanyi kwa kupanga, na wengi tunatamani mambo yangekuwa tofauti na yalivyoWanawake wa kibongo ukiongelea mkataba wanajifanya wakali balaa na kutoa experience za maumivu ya labor.
Wakati wengi wamepewa mimba wameachiwa watoto hata mia hawapati kutoka kwa baba wa hao watoto.
Sasa si Bora mnayeelewana tangu mwanzo!!
Tangu muambiwe mfyatue tu watoto watasomeshwa bure, naona kuna mlioamua kufungua viwanda kabisaa vya kufyatulia hao watoto.Habari za jumapili ndugu zangu.