KUHUSU KUZAA KWA MKATABA

KUHUSU KUZAA KWA MKATABA

Dah huu Uzi ungeweka jukwaa la ajira na tenda nadhan wangekuja wengii

Apa wanaona masihara..
 
Mh pole kaka..umenikumbusha ile bongo movie ya mtunis alikua anaona wanawake ni pasua kichwa akatafuta wa juzaa nae tu wakafunga ndoa ya mkataba miaka 2 sijui nimesahau kidogo...ila mwisho wa siku aligundua yuke dada ni wife material.

mama ake na yule mwanamke alimwambia binti yake hakuna mwanaume anaependa kulea mtoto peke ake huyo atakua amekosa wife matetial we nenda kamuaminishe bado mpo wanawake mnaojua ndoa nnn.
 
Hujabeba unataka ela......hakuna pimbi wa kufanya ivyo
Mm Niko teyar mkuu ila nataka ela ya kukubebea yote kwanza then ya kila mwenzi kwaajili ya mimba mpk miaka miwili
 
Rene1 iwe kama sh ngapi i nafikiri isizidi 200,000 kuanzia kupata ujauzito uwe wa miezi 2 na kuendelea mtoto akizaliwa tu itakuwa laki 250,000 hapo hadi mwaka 1 namchukua.
Nyokoo ! Haitoshi.ongeza dau
 
Mh hii kali na usipo beba na ikitokea ikitoka hata mara 2 ujue mpaka kubeba tena inachukua muda kdg, ikitokea inatoka baada ya miezi 3 na hela umeshachukua mtaanza upya tena kutoa dah changamoto hii
 
Habari za jumapili ndugu zangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada,Ndugu zangu nahitaji msichana yeyote atakaye kuwa tiyari kunizalia mtoto kwa mkataba kuwa anipe huyo mtoto baada ya kufikisha miaka miwili niendelee na malezi mwenyewe.
Kinaweza kikawa ni kitu kigeni hasa kwa tamaduni zetu za Kitanzania,Lakini nimeona nifanye hivyo maana naona umri unazidi kwenda na hamu ya kukaa na mwanamke inazidi kuisha.
Kuna X wangu mmoja baada ya kumuundia zengwe la uongo nikamuacha japo hataki kuachika,Amesema yuko tiyari kunizalia ili abaki na copy yangu,Ila kwa jinsi alivyo king'ang'anizi nimeona anaweza kuniletea balaa hapo mbeleni baada ya kujifungua kwa hiyo nimegoma kuzaa nae.
Ndugu zangu mambo ni mengi mda mchache,baada ya kukaa kwa mda mrefu nikaona nitumie hii njia kwa kujua kuna wasichana ambao kama nilivyo mimi hawapendi kuishi kwenye familia japo wanapenda kuwa na watoto.
Kama atajitokeza humu jukwaani,Lazima tupime afya zetu na nitakuwa tiyari kutoa kiasi kitakachowezekani kila mwezi kwa huo mda wa miaka miwili.
Natanguliza shukrani na maoni au michango kwa wale ambao walishawahi kufanya kitu kama hiki.
Soooo brave mkuu !!!utampata tu wapo wengi wenye kutaka pia mi mwenyewe ntakuja fanya hivyo
 
Hapo utakuja kuuziwa mbuzi kwenye gunia shauri yako. Inahidi ukaanae angalau miezi miwili uwe na uhakika kuwa mtoto ni wako
Kuna watu wameoa na wanalea watoto ambao si wao hao unaongelea vipi ?hawajakaa na wake zao?
 
Mh pole kaka..umenikumbusha ile bongo movie ya mtunis alikua anaona wanawake ni pasua kichwa akatafuta wa juzaa nae tu wakafunga ndoa ya mkataba miaka 2 sijui nimesahau kidogo...ila mwisho wa siku aligundua yuke dada ni wife material.

mama ake na yule mwanamke alimwambia binti yake hakuna mwanaume anaependa kulea mtoto peke ake huyo atakua amekosa wife matetial we nenda kamuaminishe bado mpo wanawake mnaojua ndoa nnn.
Inaitwaje hiyo muvi mkuu?
 
Back
Top Bottom