Wana Jf naomba wale wenye kujua nafasi za kujiunga na jeshi la polisi chuo cha CCP-moshi zinatoka lini na huwa taarifa zinatolewaga kwa njia zipi? nimejaribu kufungua website ya polisi tz sijafanikiwa kupata taarifa hizo wakuu.<br />Natanguliza shukrani zangu