Katika imani za kijadi, tiba asili, na mafundisho ya kiroho ya jamii nyingi, kitunguu saumu (garlic) huchukuliwa kama silaha yenye nguvu kubwa ya ulinzi, kusafisha nishati, na kufukuza nguvu hasi au viumbe wabaya kama majini na wachawi.Time za walozi hizi✅
Nilikwambia unifundishe kuhusu chumvi ya mawe kwa uchache?
Kitunguu saumu kina harufu kali na ya pekee. Katika ulimwengu wa kiroho, harufu hii inatafsiriwa kama ngao inayofanya mazingira yasiwe na utulivu kwa viumbe au nguvu za giza. Ukali wake unachukuliwa kama chombo cha kusafisha anga lililochafuliwa na migogoro, huzuni, au maneno mabaya.Mshana yaan uck kama hv. Ndo zako na ulozi,watu wakiamua wanakutana na Uzi wa kitunguu
Huu shuhuda wako una ukweli mkubwa sana kisayansi❗🔥, na unaeleza vizuri kwa nini kitunguu saumu kimekuwa kikitumika tangu kale kama dawa ya asili ya kuongeza nguvu za kiume. Waganga wengi wa mitishamba wanajua siri hii na mara nyingi huichanganya kwenye dawa zao wanazouza kwa bei ghali, ilhali ni kitu kinachopatikana kwa urahisi jikoni.Wabongo laiti wangelijua ukweli wa kitunguu saumu ukila mchana kutwa unamsimamia cha ukucha mke wako au mchepuko, waganga wa nguvu za kiume wote wangerudi maporini
Siri kubwa ya nguvu za kiume ipo kwenye mfumo wa mzunguko wa damu.Wabongo laiti wangelijua ukweli wa kitunguu saumu ukila mchana kutwa unamsimamia cha ukucha mke wako au mchepuko, waganga wa nguvu za kiume wote wangerudi maporini
Main character ni mind.. Vingine vyote ni viwezeshi tuu... Mind has the final say..! Ukiwaza kiondoke kiwezeshi kitafanikisha.. Ukiwaza kiondoke huku unasita.. Kiwezeshi kinakosa pawa❗❕Hapo kwenye kuacha kuwaza kile ulichotaka kiondoke ndio pagumu. Kwamba ukikikumbuka dawa ndio inakuwa haifanyi kazi tena?
Umemaliza MkuuSiri kubwa ya nguvu za kiume ipo kwenye mfumo wa mzunguko wa damu.
Kitunguu saumu kikiwa kibichi kina kiwanja kinachoitwa Allicin. Allicin husaidia kulegeza na kutanua mishipa ya damu (vasodilation), jambo linalofanya damu kutiririka kwa kasi na kwa wingi kuelekea sehemu za siri za mwanaume wakati wa msisimko.
Huu ndio mtindo ule ule unaotumiwa na vidonge vya hospitali vya kuongeza nguvu (kama Viagra).😀😀