Kuhusu Katiba Mpya, CHADEMA sio pekee wenye wananchi

Chasema na mwenyekiti wao wasijaribu kumbabaisha Rais wetu na kumblackmail katika kutekekeza sera zao

wananchi waliikubali CCM na wakaipigia kura kwa kishindo 2020.

hivyo mwenye mamlaka,ushwawishi na uwezo wa kumuamrisha Rais Samia ni wapiga kura walioichagua CCM 2020.

TUACHE USANII WA KISIASA
 
Una miaka mingapi?
 
2020 chini ya utawala wa yule mtu muovu hakukuwa na uchaguzi, bali kulikuwa na maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Na wananchi wote wanajua jinsi yule ibilisi alivyopora uchaguzi.
 
Kujenga uchumi bila demokrasia haiwezekani. Alijaribu Nyerere alipokataa Haki za Binadamu tangu mwaka 1961 mpaka mwaka 1984. Alijaribu Magufuli mwaka 2015 mpaka 2020.

Katiba sio ya Chadema wala CCM ni yetu sote yaweza kukusaidia familia yako huko mbeleni.
hv nyie mtu wa kawaida ataitaka katiba wakati kula yenyewe shida,watu wanataka maendelea ya kiuchumi wapate helala. Nyie mmekazana katiba katiba
 
Mkuu katiba na familia wapi na wapi- kwanza familia ipi hizi za kishoga wanazotaka CHADEMA
Huwezi zungumzia ushoga wa chadema kuacha kuzungumza ushoga wa shaka yule maemaji wa ccm aliyeolewa na Salim mpelembwe huko Tanga
 
hivi kwako wewe CHADEMA na Shaka ni sawa?
Siyo sawa kwa sababu chadema ni chama na shaka ni mtu.
Shaka Hamid shaka kuolewa na mpelembwe huko tanga. Kama taarifa hizi za UONGO ndo muendlee kuhubir ushoga!
Tuna ushahidi mpaka wa picha zao . Unaimba ushoga wa familia za chadema wakati msemaji wako wa chama kuolewa kabisa?
 
CHADEMA kama chama kinaamini katika ushoga ndiyo maana mnawafuatilia mashoga mpaka mna rekodi mambo yao. Sasa kama mnafanya yite hayo mnataka katiba mpya iwape nini tena maana mlishapata kila kitu
 
Kwa kweli chadema nimeanza kuwachukia. Wanatumia upenyo wa upole wa mama kuleta vurugu nchini. Mama tembeza virungu, hawaamini kama ww ni rais, wanakuchukulia personally.
 
CHADEMA kama chama kinaamini katika ushoga ndiyo maana mnawafuatilia mashoga mpaka mna rekodi mambo yao. Sasa kama mnafanya yite hayo mnataka katiba mpya iwape nini tena maana mlishapata kila kitu
Umepungukiwa akili wewe.
Aliyekuaambia ushoga ndiyo kila kitu ni nani??? Shaka Hamidu shaka, msemaji mkuu wa ccm mbona bado anakitumikia chama ilihali ni mwandamo wa bwana Salum mpelembwe?
 
Kumekuwa na mazoea wananchi kupewa ajenda hata zisizowahusu alimradi kubariki ajenda zao kwahy sio Jambo la kuchekewa lazima waliohusika wawajibishwe.
Nawasilisha!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom