Kuhusu Janga la Njaa Linaloweza kuikumba Tanzania

OGTV

JF-Expert Member
May 22, 2016
353
167
Nimesikia na kuona viongozi wengi wakiliongelea swala hili, na Magesa Mulongo asema hivi

 
naona wanatafuta mchawi. bila kubadili sera za kilimo hakuna kijana atakayeenda kulima na miaka yote tutalia njaa. unilazimishe kulima ekari mbili za mihogo kwa sheria ipi?
 
Back
Top Bottom