Kama meneja wa kampeni ndio yule, ACT hawapati hata 5% ya kura zote!
Hapana mzee 5gear haiko chini ya tetere fuatilia
Akili yako matope sana!
Jamaa alambe mil 500 halafu ashindwe kurudi chuo??
Uokote milioni 500 urudi chuo kufanya nini? Akili kichwani, huo ni mtaji tosha unawekeza unazalisha mara saba u sabini. Ukiwa mfujaji kweli ni heri urudi chuoni!
Hivi hawa ACT ni tawi la CCM ama Chama cha Upinzani?!
70% ......
Nitafakari kitu gani cha maana ulichoniambia?Kuamini Maneno bila Vitendo ni Sawa Na Kuoga hadharani Huku Ukiwa Umefumba Macho Lakini Chini Kote Kukowazi.. Tafakari
unafkir chuo ni sawa na msalani??niulize.mm niliyesoma naye live.
alifukuzwa udom kwa sababu ya ukorofi wa kumobilize migomo na ni huyuhuyu aliyepgwa bann na kikula