Kuhusu Habibu Mchange

Kuhusu Habibu Mchange

Kama meneja wa kampeni ndio yule, ACT hawapati hata 5% ya kura zote!
 
Upumbafu na ulofa unakusumbua kuandika vitu vya kijiweni-unaacha kujibu hoja za Zakhem, kwa yaliyoelezwa Zakhem mnatakiwa muitishe kikao kingine Jangwani kijielezea vinginevyo mmekwisha
 
Naomba Mchange na Zitto waje Kanusha kama ni uongo. Na wakitia porojo namwaga unga wote kwenye machimbo ya mchanga. Mbwayu mbwayu

Tiamaji tiamaji, Pangu pakavu,
 
Hahahaha wewe hoja za zitto zimekuingia na unawashwa sasa. Jikune usione aibu. Leo ndo umekaa ukapanga hivyo? Wewe ni boya sana. Mchange ni mmeo? Kitila nae mmeo mbona unamjua zaidi ya mkewe? Si useme tu kama alitembea na wewe mbona hujitaji? Alafu ndo uulize kama ni muadilifu?

Hoja tafadhali au kaa kimya. Matusi ni kwa waliyofilisika hoja
 
Act-wasaka tonge , wanajianda kurudia ya 2010 wakiwa CDM..waliuza jimbo la kibaha mjini kisha wakadhurumiana
 
Mwandishi WA Uzi atakuwa ni wale mashudu waluotimuliwa cdm wengine wakaenda Ccm wengine wakaenda Act na kuna uwezekano ni kundi Moja na yule aliyeuza jimbo LA mbozi mashariki kwa ccm
 
upumbafu na ulofa unakusumbua kuandika vitu vya kijiweni-unaacha kujibu hoja za Zakhem, kwa yaliyoelezwa Zakhem mnatakiwa muitishe kikao kingine Jangwani kijielezea vinginevyo mmekwisha

Thanks, unajua Mchange aliwahi ugua nini, anaumwa nini na atakuja ugua nini kati ya 0-50 years old ?.

Naomba aje jibu hoja msije waharibia zaidi nilikua natoa somo wasijiite waadilifu, wazalendo ilihali ni mafisadi. Zitto nafsi yake inamsuta kwa mambo aliyoyafanya kwenye Mashirika ya uma, Pia Mchange kuhusu afya anajua,. Kwani Mchange ulivyo pata ajari kule Tabora na kama ungepata ulemavu wowote ule, ungeacha siasa katika maisha yako?. Kuhusu Afya ya mtu muambieni jamaa yenu maisha bado yanendelea, kila mtu hajui kesho ipoje. Hata hao CCM hawaongelei afya ya mtu.
 
Tena haka ka Mchange kanaonekana kana njaa kuliko tumbo lenyewe, kanaoneka kana roho mbaya hata kwa muonekano tu.
 
Uzuri Viongozi wa Chadema mwaka huu wamekiri kuwa tuhuma zote ambazo huwa wanaziibua ni kwa ajili ya kuwachafua watu tu lakini huwa hawana uhakika nazi, sembuse itakuwa wewe mpambe wao.

Wapumbavu1.JPG
 
Hivi huyu Habib Mchange ndio Manyaunyau au wanafanana tu ie duniani wawiliwawili?!!
 
kwa sasa ukimsema vibaya LOWASA utakuwa na hali mbaya sana...maana UMMA ushaamua kufanya mabadiliko na mabadiliko ni lazima yaan...
 
Zitto in fisadi na Mchawi kupindukia anajulikana. Na kikao cha majuzi na ccm alipewa hela ili ACT igombee ili kugawa kura za upinzani. Na mwishoni atauza kura zake ccm. Hivyo basi kura nyingi za wizi zitafichwa ACT ili ACT aamue kujiunga na CCM ili kuongeza kura. Pole zake.
 
Hivi huyu Habib Mchange ndio Manyaunyau au wanafanana tu ie duniani wawiliwawili?!!
hapana , huyu ni yule aliyewadhulumu nauli wale makamanda wa mikoa ya kusini wakati wa vuguvugu la usaliti , hadi wakaja ufipa kuomba msaada , ila ana roho mbaya sana ! kuwadhulumu wenzake mil 7 tu ni ujasiri wa hatari sana !
 
Back
Top Bottom