Kuhusu Habibu Mchange

Kuhusu Habibu Mchange

Akili yako matope sana!
Jamaa alambe mil 500 halafu ashindwe kurudi chuo??[/Q

Please Nenda Kwa Prof. IDDRISA KIKULA makamu wa Chuo. Mchange Hata angekua na 1 Tillion hatakiwi UDOM. Zitto analijua ingawa alimpigania akarudi baada ya wiki moja wakafukuza tena kwa sababu ya tabia yeke mbaya. Hana busara, weredi , na nimdini sana kama Zitto
 
Tetere Media ni kweli ya mchange na ina produce kipindi cha 5 gears Clouds TV,kweli unamjua Mchange.
 
Kwa pove hili jinsi linavyokutoka ni dhahiri sindano ya Mchange imepenya sawasawa,pole kamanda
 
Hahahaha wewe hoja za zitto zimekuingia na unawashwa sasa. Jikune usione aibu. Leo ndo umekaa ukapanga hivyo? Wewe ni boya sana. Mchange ni mmeo? Kitila nae mmeo mbona unamjua zaidi ya mkewe? Si useme tu kama alitembea na wewe mbona hujitaji? Alafu ndo uulize kama ni muadilifu?

Tulia wewe bi mkubwa,kama unawashwa jitahidi kuvumilia
 
unafkir chuo ni sawa na msalani??niulize.mm niliyesoma naye live.

alifukuzwa udom kwa sababu ya ukorofi wa kumobilize migomo na ni huyuhuyu aliyepgwa bann na kikula

Tupe ukweli mkuu ili tuongezee nondo zetu
 
Machange akirudi kibaha mjini atawatonesha machungu wana kibaha. Asirudi kwa namna yeyote.
 
Mchange alikuwa kibaraka wa Zitto toka Yupo Udom . Mchange ali Disco Chuo na sio kufukuzwa. Mchine ni Mchumia Tumbo na sijui amekuwaje kampeni manager wa Mgombea urais wa Act
 
Back
Top Bottom