Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,410
- 271,871
Kumbe !!!!!
habari ndio hiyo .
Kumbe !!!!!
Hapana mzee 5gear haiko chini ya tetere fuatiliaTetere Media ni kweli ya mchange na ina produce kipindi cha 5 gears Clouds TV,kweli unamjua Mchange.
Mchange doesn't deserve any attention
Thanks, unajua Mchange aliwahi ugua nini, anaumwa nini na atakuja ugua nini kati ya 0-50 years old ?.
Naomba aje jibu hoja msije waharibia zaidi nilikua natoa somo wasijiite waadilifu, wazalendo ilihali ni mafisadi. Zitto nafsi yake inamsuta kwa mambo aliyoyafanya kwenye Mashirika ya uma, Pia Mchange kuhusu afya anajua,. Kwani Mchange ulivyo pata ajari kule Tabora na kama ungepata ulemavu wowote ule, ungeacha siasa katika maisha yako?. Kuhusu Afya ya mtu muambieni jamaa yenu maisha bado yanendelea, kila mtu hajui kesho ipoje. Hata hao CCM hawaongelei afya ya mtu.
kweli kabisa!CHADEMA ndo kuna UADILIFU! teh teh teh teh tehUadilifu unataka moyo!..hakuna uadilifu ACT!Aminia!
ACT nchi mnayoisema kuwa mnataka kushika ni TANZANIA au pale Mwandiga Kigoma ?maana si wseleqo kabisa nani anaweza kuwapigia kura labda hao wavuta bangi kama sele.
unafkir chuo ni sawa na msalani??niulize.mm niliyesoma naye live.
alifukuzwa udom kwa sababu ya ukorofi wa kumobilize migomo na ni huyuhuyu aliyepgwa bann na kikula
Hapana mzee 5gear haiko chini ya tetere fuatilia
Hivi huyu Habib Mchange ndio Manyaunyau au wanafanana tu ie duniani wawiliwawili?!!
70% ......lowasa atapata % ngapi?
huwa anaficha sana iyo tabia yake!