Nilianza muda si mrefu LAKINI bado nakumbana na kero ya maswali ya WATU , watu wanakuja dm wanaanza kama wateja Kisha ubadili agenda zao na kuanza kuuliza maswali hapa KWENYE attachment ,
Swali ni kuhusu uchelewaji WA mizigo na mambo ya supplier , kwahiyo BADALA MTU kuuliza product anauliza kuhusu unavyofanya biashara na supplier WAKO na muda unaotumika kuship MPAKA kufikia mteja.
Shida hii imekuwa kero SABABU. Ni Kila saa wanaibuka na maswali hawaendi kununua KWENYE site.
Unaona MTU kalike product anacomment nindm nahitaji ukienda NDO hivyo
Je wewe umewahi pitia changamoto hii tuambie na zingine pia ILI tujifunze
Mimi nimekuwanna large audience Kwa muda mfupi LAKINI hayo NDO maswali yao hakuna sale