Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 44
Kwa mtu mwenye akili timamu mwenye kutaka kuhoji elimu ya Dr Slaa anatakiwa kwanza aelewe 'mfumo' wa elimu ndani ya kanisa katoliki na uhusiono uliopo kati ya elimu hiyo na hii elimu tunayopata kwenye institutions za kawaida. Huwezi kukosoa chemistry wakati haujui hata benson burner ni nini?
Hata ukiwapa majibu yanayohitajika watu kama Barubaru ambao wanaongozwa na kutawaliwa na udini hawataridhika.Ndio maana majibu yanahitajika ili kutathmini kisomo cha Dr Slaa na kumaliza maswali au upotoshwaji wa makusudi wa kubobea kwa Dr. Slaa katika kisomo chake cha darasani
Hata ukiwapa majibu yanayohitajika watu kama Barubaru ambao wanaongozwa na kutawaliwa na udini hawataridhika.
Kwa mtu mwenye akili timamu mwenye kutaka kuhoji elimu ya Dr Slaa anatakiwa kwanza aelewe 'mfumo' wa elimu ndani ya kanisa katoliki na uhusiono uliopo kati ya elimu hiyo na hii elimu tunayopata kwenye institutions za kawaida. Huwezi kukosoa chemistry wakati haujui hata benson burner ni nini?
mfumo wa elimu wa nini bwana huyui hana PHD ya academician ni ya heshima kwa sheria za kanisa,uliona wapi PHD unapewa baada ya kusoma diproma bwana?
kama ana elimu inayohusiana na mambo ya dini, huyu anastahili kukabidhiwa mwanakondoo amchunge,
<br />Hata ukiwapa majibu yanayohitajika watu kama Barubaru ambao wanaongozwa na kutawaliwa na udini hawataridhika.
mfumo wa elimu wa nini bwana huyui hana PHD ya academician ni ya heshima kwa sheria za kanisa,uliona wapi PHD unapewa baada ya kusoma diproma bwana?
<br />phd anayo na kasotea kama kwako phd ni ndoto so sorry ,he z the person who can show hz phd without certficates coz he z more than a bright ,active mind he wil always be the topic coz he has somethinng different wt othersHujasaidia kujubu hata swali moja kati ya maswali manne yaliyoulizwa kwenye threadi.
<br />ʞontɹact Sniper;2428629 said:Bishana na mjinga and end-up being Mjinga.....Huyo anayehoji hayo ni afadhali angekuwa hajui peke yake, tatizo lake ni hajui, halafu anaogopa kujua na kuishia kutotaka kujua...mtapoteza muda naye.