Kuhusu Corona, kwa ukimya huu kwenye social media, hakuna sababu ya kutilia shaka taarifa za serikali

Wasalaam,

Niende kwenye mada moja kwa moja

Kipindi kile serikali inatoa takwimu za maambukizi na vifo vya Covid-19 mara kwa mara huku kwenye mitandao ya
kijamii yaliibuka mengi ambayo kwa asilimia kubwa yaliaminika:

Wengi tulitilia shaka takwimu zilizotolewa na serikali hivyo mitandao ya jamii ilisheheni:-

Shuhuda za jinsi wapendwa wetu wanavyozikwa usiku na ndugu kupigwa mkwara wasisambaze taarifa

Wengine walikuja na taarifa za uwepo wa wagonjwa wengi mahospitalini.

Wengine walikuja na shuhuda za wapendwa wao kukosa huduma hospitali.

Tangu serikali isitishe kutoa takwimu na kusisitiza maambukizi yamepungua hayo yote hayapo tena kwenye mitandao

Kwasababu watu hawalalamiki kama zamani, hii ni indicator mojawapo kwamba yanayosemwa na serikali ni sahihi maana hakuna malalamiko tena huku mitandaoni.
Mkuu mabeberu wana plan B, angalia nini ambacho kinatokea mji mkuu wa Korea ya Kusini. Kama ugonjwa huu ni aina mojawapo wa "biological weapon" ambao umetengezwa maabara, basi tunapaswa kuendelea kujikinga kutokana na maelekezo ya kanuni za afya dhidi yake.
 
Hujaona South Korea wamefunga tena shule baada ya ishu kuibuka upya?

Kule Brazil ambako rais wao alikuwa na mawazo kama ya Magufuli huoni korona imepamba kasi?

Kule Urusi kwa Putin waliojifanya kuwa wako salama huoni sasa hivi korona imechachamaa kama pilipili?
Pigs Nazi coona inekwisja ukizubaa inakulamba
 
Back
Top Bottom