Kuhusu Corona, kwa ukimya huu kwenye social media, hakuna sababu ya kutilia shaka taarifa za serikali

Wasalaam,

Niende kwenye mada moja kwa moja

Kipindi kile serikali inatoa takwimu za maambukizi na vifo vya Covid-19 mara kwa mara huku kwenye mitandao ya
kijamii yaliibuka mengi ambayo kwa asilimia kubwa yaliaminika:

Wengi tulitilia shaka takwimu zilizotolewa na serikali hivyo mitandao ya jamii ilisheheni:-

Shuhuda za jinsi wapendwa wetu wanavyozikwa usiku na ndugu kupigwa mkwara wasisambaze taarifa

Wengine walikuja na taarifa za uwepo wa wagonjwa wengi mahospitalini.

Wengine walikuja na shuhuda za wapendwa wao kukosa huduma hospitali.

Tangu serikali isitishe kutoa takwimu na kusisitiza maambukizi yamepungua hayo yote hayapo tena kwenye mitandao

Kwasababu watu hawalalamiki kama zamani, hii ni indicator mojawapo kwamba yanayosemwa na serikali ni sahihi maana hakuna malalamiko tena huku mitandaoni.
Unataka nianze kuchapa TANZIA ambazo nimeona zinanichosha kwa wingi wake? Unataka nianze kesho na mbunge wa CCM kisha kesho kutwa mihamie viongozi wa kitaifa? Nitafanya hivyo.
 
Zile Tanzia zilisaidia kutufanya tuchukue tahadhari, hazipo( MUNGU EPUSHIA MBALI ZISIRUDI) zimesababisha watu kujiachia. Huwezi amini leo huku uswahili kwetu wale wanaotembea njia zima wakiwa wengi nakuimba nyimbo zao zinazohamasisha kina dada kusaula nguo zao na kubaki uchi zimeanza kurudi rasmi

Nimeuliza ili tujihakikishie kama hazipo kweli watu tujiachie kiroho safi, kama mnataarifa msizikalie ndio kazi ya Jf kuweka mambo hadharani. Ila tafadhalini leteni za kweli sio ilimradi mtutishe na kama hazipo chuneni hivyo hivyo tujiachie na vigodoro vyetu huku uswazi tupunguze stress

Uswahilini hapanogi bila vigoma, hii corona ilaaniwe kwakweli! Angalau leo watu wameburudisha macho japo wametutimulia vumbi.

Kuna watu wana confidence za ajabu nyie acheni tu! No barakoa, no distance, full kujibinua makalio bila nguo na corona hii kabisa! Kila mtu amebaki mdomo wazi naamini hata Makonda hakumaanisha iwe kwa style hii niliyoshuhudia leo
 
Unataka nianze kuchapa TANZIA ambazo nimeona zinanichosha kwa wingi wake? Unataka nianze kesho na mbunge wa CCM kisha kesho kutwa mihamie viongozi wa kitaifa? Nitafanya hivyo.
Hahahah.. Debe tupu! Tulikwambi hiki kibarua ulichopewa na Mbowe kitawatokea puani! Ona sasa mmeishia kuvurugana na watz wanaendelea na maisha yao. Wako busy na maisha, wanajenga uchumi na jemedari wao JPM, hawana muda wa kusikiliza wajinga.
 
Kigogo keshatoa update jana nenda kacheki.

Labda kama hudhani twitter nayo ni social media

Kwenye Korona serikali imejitoa, Ukifikwa you are on your own, serikali imeshajitoa, hata kuzika sasa utazika mwenyewe tena bila wale jamaa wavaa PPE kuwepo, ukijicontaminate shauri yako!

Ukienda hospitali ukionyesha dalili za Korona hupokelewi

Ukifia nyumbani kwa dalili zote za Korona hakuna postmortem kwa hiyo hutopata ushahidi wa kusema mtu wako kafa kwa korona

Mgonjwa akibahatika akapata hospitali na akafa kwa korona, madaktari "wanashauriwa" waandike magonjwa mtambuka kama sababu ya kifo

Kwa hiyo njia zote za kupata taarifa official zimezibwa!

Hata madereva wetu wa Malori wanaokutwa na Korona tumeomba nchi jirani isitaje uraia wao

Kwa hiyo hata hao wanaosema Imepungua haijaisha ni kwa sababu wanaona aibu kusema imeisha maana hata wao data za kuwaambia kuwa imepungua hawana wanatumia tu instincts zao

Nakushauri usiwe kama mbayuwayu, za kuambiwa changanya na zako!
Kigogo ni mpumbavu mwingine na anawapumbaza wapumbavu wenzie
 
Wasalaam,

Niende kwenye mada moja kwa moja

Kipindi kile serikali inatoa takwimu za maambukizi na vifo vya Covid-19 mara kwa mara huku kwenye mitandao ya
kijamii yaliibuka mengi ambayo kwa asilimia kubwa yaliaminika:

Wengi tulitilia shaka takwimu zilizotolewa na serikali hivyo mitandao ya jamii ilisheheni:-

Shuhuda za jinsi wapendwa wetu wanavyozikwa usiku na ndugu kupigwa mkwara wasisambaze taarifa

Wengine walikuja na taarifa za uwepo wa wagonjwa wengi mahospitalini.

Wengine walikuja na shuhuda za wapendwa wao kukosa huduma hospitali.

Tangu serikali isitishe kutoa takwimu na kusisitiza maambukizi yamepungua hayo yote hayapo tena kwenye mitandao

Kwasababu watu hawalalamiki kama zamani, hii ni indicator mojawapo kwamba yanayosemwa na serikali ni sahihi maana hakuna malalamiko tena huku mitandaoni.

Wewe kama wewe unaamini lipi?
Wewe ni mwanachama wa hizo social media, je ulikuwa unatoa taarifa zozote au ulikuwa usoma tu? NAMAANISHA KULAUMU KWAKO SOCIA MEDIA WAKATI WEWE UTOI TAARIFA ZOZOTE SI JAMBO JEMA.

Unajua wazi kuwa ukipingana na serikali yatakayofuata ni yepi. La msingi jikinge mwenyewe na uwakingi na wengine.
 
Wanasaccos walitaka kuleta taharuki lakini sasa wamekwama! Sisi tunachapa kazi tu. Mtangaza vifo alikuwa mwanasaccos G Sam sasa amehamia kwenye flyovers za Dar amekwama kwenye Corona!
 
Kigogo keshatoa update jana nenda kacheki.

Labda kama hudhani twitter nayo ni social media

Kwenye Korona serikali imejitoa, Ukifikwa you are on your own, serikali imeshajitoa, hata kuzika sasa utazika mwenyewe tena bila wale jamaa wavaa PPE kuwepo, ukijicontaminate shauri yako!

Ukienda hospitali ukionyesha dalili za Korona hupokelewi

Ukifia nyumbani kwa dalili zote za Korona hakuna postmortem kwa hiyo hutopata ushahidi wa kusema mtu wako kafa kwa korona

Mgonjwa akibahatika akapata hospitali na akafa kwa korona, madaktari "wanashauriwa" waandike magonjwa mtambuka kama sababu ya kifo

Kwa hiyo njia zote za kupata taarifa official zimezibwa!

Hata madereva wetu wa Malori wanaokutwa na Korona tumeomba nchi jirani isitaje uraia wao

Kwa hiyo hata hao wanaosema Imepungua haijaisha ni kwa sababu wanaona aibu kusema imeisha maana hata wao data za kuwaambia kuwa imepungua hawana wanatumia tu instincts zao

Nakushauri usiwe kama mbayuwayu, za kuambiwa changanya na zako!
Ndugu zako wamekufa wangapi na hukupata msaada wa serikali?
 
Corona ni vijimafua visivyo na madhara vipo na haviishi kesho watz tumeshajifunza kuishi navyo Kama tunavyoishi na malaria tunachapa tu kazi, jiwe oyeeeeeeeee!
 
Wewe kama wewe unaamini lipi?
Wewe ni mwanachama wa hizo social media, je ulikuwa unatoa taarifa zozote au ulikuwa usoma tu? NAMAANISHA KULAUMU KWAKO SOCIA MEDIA WAKATI WEWE UTOI TAARIFA ZOZOTE SI JAMBO JEMA.

Unajua wazi kuwa ukipingana na serikali yatakayofuata ni yepi. La msingi jikinge mwenyewe na uwakingi na wengine.
Hakuna nilipozilaumu social media ndugu, ujumbe wangu ulilenga kutoa ujumbe kwamba malalamiko mitandao kupungua ni indicator mojawapo ya kupungua kwa maambukizi ya corona

Sina hakika kama hata waliolalamika hapo kabla walikuwa kinyume na serikali ila walijaribu kuonyesha uhalisia. Kumbuka hata la mazishi ya usiku liliibuliwa huku huku
 
Wenye corona wote wameponywa na yale maombi ya siku 3 kwahiyo hakuna maambukizi mapya

Hili ndio jibu sahihi kwahiyo kama vipi fumgia uzi wako hapa
 
Hakuna nilipozilaumu social media ndugu, ujumbe wangu ulilenga kutoa ujumbe kwamba malalamiko mitandao kupungua ni indicator mojawapo ya kupungua kwa maambukizi ya corona

Sina hakika kama hata waliolalamika hapo kabla walikuwa kinyume na serikali ila walijaribu kuonyesha uhalisia. Kumbuka hata la mazishi ya usiku liliibuliwa huku huku

Je wewe unaamini kuwa covid 19 ipo ua imekwisha?
 
Ukiona hivyo ujue Wameshakufa
Watu wao wa karibu wao hawajui matumizi ya social media?

Hii corona bana ukijiuliza sana unaweza ukaishia kutoelewa zaidi

Jirani zetu kila kukicha namba zinapaa tu, sasa unajiuliza kwanini zinapaa? Wanazipaisha makusudi au ni kweli? Kama ni kweli, mbona huku kwetu;

Madereva walionyanyapaliwa bado wanadunda,

Mateja wa vituo vya mabasi na daladala wanadunda kama kawa na wapo mazingira hatarishi zaidi

Masoko yanajaa kama kawa

Na siku hizi baa zimeanza kujaa kama kawaida

Hivi kweli kama maambukizi yangekuwa kama yanavyosemwa huko si tungetafutana?

Fikiria mabasi yanayosafiri kutoka dsm hadi kigoma, bukoba, Mwaz abiria wanakaa masaa mangapi wanapumuliana tu? Hapa si tungetafutana kweli?

Mwezi wa tatu, wa nne, watano na sasa tunaingia wa sita kutimiza jumla miezi minne tunaishi ndani ya corona wakati huo china na Italia iliwachukua miezi miwili tu kuanza mtafutano.

Nashawishika kwamba tuchukue tahadhari kweli lakini corona ya bongo ilikuja makali yakiwa yameshapungua! Tuchape kazi na watoto warudi shule tu waendelee na masomo
 
Wale waliokuwa wanalalamika huku mitandaoni mbona hawapo tena? Inamaana na wao wameamua kukaa kutosema kinachoendelea mitaani?
Kama halijakukuta kwenye familia yako shukuru, waache wanaozika ndugu zao waombokeze.
 
Back
Top Bottom