newbiee01 Senior Member Joined Jul 21, 2018 Posts 100 Reaction score 23 Sep 29, 2018 #1 Kwa walio bahatika kupata chuo awamu ya pili..!! .....cjaelewa kinachoendelea kutoka TCU mpaka xx ukiingia kwenye accont mfan udom wanakuambia uweke izo code, labda mwenye newz kuhusu ili swala tuhabarishane.
Kwa walio bahatika kupata chuo awamu ya pili..!! .....cjaelewa kinachoendelea kutoka TCU mpaka xx ukiingia kwenye accont mfan udom wanakuambia uweke izo code, labda mwenye newz kuhusu ili swala tuhabarishane.
O Omarion emmyriano Member Joined Sep 7, 2018 Posts 94 Reaction score 30 Sep 29, 2018 #2 Ngoja tuwasubir tuone tcu watatuma mda gan
newbiee01 Senior Member Joined Jul 21, 2018 Posts 100 Reaction score 23 Sep 29, 2018 Thread starter #3 Au ndo yatukua ya kama ya 1st round kucumbuka kupata kodi
O Omarion emmyriano Member Joined Sep 7, 2018 Posts 94 Reaction score 30 Sep 29, 2018 #4 Ilo lzm mkuu
R rich jimson Member Joined Sep 28, 2018 Posts 18 Reaction score 11 Sep 29, 2018 #5 Daaah m mwenyew bado nazisubir na mpaka sasa naona kimya sijajua TCU wanalengo lipi
fukunyuku Member Joined Feb 24, 2012 Posts 69 Reaction score 23 Sep 30, 2018 #6 Codes wanaweka walioomba chuo zaid ya kimoja, kama uliomba chuo 1 tu una comfirm hakuna code
newbiee01 Senior Member Joined Jul 21, 2018 Posts 100 Reaction score 23 Sep 30, 2018 Thread starter #7 Io ina eleweka make uezi kutmiwa kode kama umechaguliwa chuo kimoja ni kwa multiple selected tu
Sam mirror JF-Expert Member Joined Sep 29, 2018 Posts 1,461 Reaction score 2,241 Oct 1, 2018 #8 Jaman mi mwenyew nimedata apa watatuma lini
O Omarion emmyriano Member Joined Sep 7, 2018 Posts 94 Reaction score 30 Oct 1, 2018 #9 Mwenye no za tcu anipatie coz yasije kuwa km mambo ya first round
newbiee01 Senior Member Joined Jul 21, 2018 Posts 100 Reaction score 23 Oct 1, 2018 Thread starter #10 Dah awa watu
Ndayambaje Jr Member Joined Oct 1, 2018 Posts 13 Reaction score 3 Oct 1, 2018 #11 Write your reply...Wanatuweka Na Mawazo tu
O Omarion emmyriano Member Joined Sep 7, 2018 Posts 94 Reaction score 30 Oct 1, 2018 #12 Jaman 2nd round tuliambiwa j3 tutatumiwa code .Nipende kujua km kuna m2 tayr alishapewa confirmation code?
Jaman 2nd round tuliambiwa j3 tutatumiwa code .Nipende kujua km kuna m2 tayr alishapewa confirmation code?
Agresive JF-Expert Member Joined Feb 18, 2018 Posts 891 Reaction score 1,237 Oct 1, 2018 #13 code ni kwa yeyote hatakama umechaguliwa chuo kimoja.
Yorke JF-Expert Member Joined Jun 9, 2017 Posts 236 Reaction score 259 Oct 2, 2018 #15 Hawawezi kutuma confirmation code mpaka vyuo vyote vitoe second selection
O Omarion emmyriano Member Joined Sep 7, 2018 Posts 94 Reaction score 30 Oct 2, 2018 #16 Yorke said: Hawawezi kutuma confirmation code mpaka vyuo vyote vitoe second selection Click to expand... Kwan kuna vyuo ambavyo bd avijatoa mkuu?
Yorke said: Hawawezi kutuma confirmation code mpaka vyuo vyote vitoe second selection Click to expand... Kwan kuna vyuo ambavyo bd avijatoa mkuu?
newbiee01 Senior Member Joined Jul 21, 2018 Posts 100 Reaction score 23 Oct 2, 2018 Thread starter #17 Uliwapigia simu au walitangaza kwenye taarifa ya habr
newbiee01 Senior Member Joined Jul 21, 2018 Posts 100 Reaction score 23 Oct 2, 2018 Thread starter #18 Ndio kna vingine vilikua avijatoa mfn mosh coperatvie uni.... , NIT
Trippier Member Joined Aug 30, 2018 Posts 86 Reaction score 22 Oct 2, 2018 #19 newbiee01 said: Ndio kna vingine vilikua avijatoa mfn mosh coperatvie uni.... , NIT Click to expand... mocu tayar??
newbiee01 said: Ndio kna vingine vilikua avijatoa mfn mosh coperatvie uni.... , NIT Click to expand... mocu tayar??
newbiee01 Senior Member Joined Jul 21, 2018 Posts 100 Reaction score 23 Oct 2, 2018 Thread starter #20 cjajua niliangalia asbuii jna cjui leo xx