Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,162
Mimi bado hata ungo wa bibi sijapandaMimi tu ndio sijapanda dreamliner humu ndani.
Ila wengine wote tayari
Jf bana!
Mimi bado hata ungo wa bibi sijapandaMimi tu ndio sijapanda dreamliner humu ndani.
Ila wengine wote tayari
Jf bana!
Hata mimi nilikuwa nawaza kama ulivyowaza wewe mkuu.. mambo ya akina lamuje de mivista anayaleta bongo.. kwelii.. hahahahaMambo ya kikorea unaleta bongo?![]()
Nipo serious mkuu,Kwa hiyo masikini tusizae mkuu?
Upo serious?
Watatu??Mtoto mmoja?![]()
Mkuu tema mate chini!
Kuzaa mtoto mmoja ni kama unabet asee!
Mungu nisaidie! hata watatu angalau..