Kuhudumia Mimba

Kuhudumia Mimba

iko hivi;
~asikose supu ya samaki daily
~MAYAI 2 ya Kuku wa kienyeji daily,
~full bundle daily
~Akiba ndani laki 5
~Usafiri wa gari,hata SOKONI
~Kila siku unamwimbia nyimbo nzuri
~Hakikisha kliniki upo naye
~Ndizi,matunda visikose mezani
~Maziwa fresh na mtindi viwepo
Nk.

*usimgombeze
*asinywe Dawa bila ushauri wa Doctor

Kibongobongo iko hivyo
Daah!! Kweeeelii aisee,
 
Akizaliwa fanya hivyohivyo.
Aisee,
Mimi hakuna kitu nathamini kama mtoto.

Ndio mana siwezi kuzaa kama sijajipanga. Na nimepanga nitazaa mtoto mmoja tu.

Nataka mwanangu apate mahitaji yote ya msingi na zaidi.

Kiumbe unachokileta duniani bila chenyewe kutaka alafu kinakuja kupata shida ni kukitesa.

Huwa nashangaa kwanini watu ni masikini alafu wanazaa.
Ushapata wa kukuzalia au bado .....incubator nipo hapa nakutotolea copy moja matata sanaaaa rangi ya mtume
 
Usisahau sex mzee baba wenyewe wanaita kupalilia mtoto isipokuwa tu tumia position ambazo hazitambana mtoto.Kimsingi piga mashine mama kijacho ina manufaa mengi hyo.
 
Akizaliwa fanya hivyohivyo.
Aisee,
Mimi hakuna kitu nathamini kama mtoto.

Ndio mana siwezi kuzaa kama sijajipanga. Na nimepanga nitazaa mtoto mmoja tu.

Nataka mwanangu apate mahitaji yote ya msingi na zaidi.

Kiumbe unachokileta duniani bila chenyewe kutaka alafu kinakuja kupata shida ni kukitesa.

Huwa nashangaa kwanini watu ni masikini alafu wanazaa.
Mtoto mmoja?

Mkuu tema mate chini!

Kuzaa mtoto mmoja ni kama unabet asee!

Mungu nisaidie! hata watatu angalau..
 
Kumleta kiumbe duniani ni zawadi kubwa sana ndiyo maana hutakiwa kulalama kama wazazi wako ni masikini.
Kila mtoto anazaliwa na sahani yake.
No matter how the situation is worse watoto watakuwa tu kikubwa wapate chakula mengine majaliwa ya mwenyezi mungu.Usicomplecate maisha ndugu.
Katoto kamoja hiyo ni zaidi ya ubinafsi.
Told him
 
Akizaliwa fanya hivyohivyo.
Aisee,
Mimi hakuna kitu nathamini kama mtoto.

Ndio mana siwezi kuzaa kama sijajipanga. Na nimepanga nitazaa mtoto mmoja tu.

Nataka mwanangu apate mahitaji yote ya msingi na zaidi.

Kiumbe unachokileta duniani bila chenyewe kutaka alafu kinakuja kupata shida ni kukitesa.

Huwa nashangaa kwanini watu ni masikini alafu wanazaa.
Kwa hiyo masikini tusizae mkuu?

Upo serious?
 
Akizaliwa fanya hivyohivyo.
Aisee,
Mimi hakuna kitu nathamini kama mtoto.

Ndio mana siwezi kuzaa kama sijajipanga. Na nimepanga nitazaa mtoto mmoja tu.

Nataka mwanangu apate mahitaji yote ya msingi na zaidi.

Kiumbe unachokileta duniani bila chenyewe kutaka alafu kinakuja kupata shida ni kukitesa.

Huwa nashangaa kwanini watu ni masikini alafu wanazaa.
nilwahi jiuliza hili swali nikajibiwa maskin wake watoto tajiri zake mali..
 
Back
Top Bottom