Kuhonga

Kuhonga

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
Mlevi hahongi Hela ila pombe hadi tosha yako, konda hahongi Hela ila daladala yake utapanda bure, muuzaduka hahongi Hela ila vitu vya dukani, bosi hahongi Hela ila vyeo, dereva wa taxi hahongi Hela ila atakutembeza na gari yake mji mzima, mwalimu hahongi ela ila maksi, n.k, nk. Je wewe una nini cha kudanganyia toto?
 
hahahaaaaaaaa uwiii mm nnaaaaaaa honga naniliuuuu
 
hahahaaaaa... land officers tunahonga nini??
 
Nimejaribu kujiuliza hivi muuza sumu au mfanyakazi wa mochwari wao wanahonga nini?

Dinazarde hebu nisaidie jibu hapa...
 
Last edited by a moderator:
Mlevi hahongi Hela ila pombe hadi tosha yako, konda hahongi Hela ila daladala yake utapanda bure, muuzaduka hahongi Hela ila vitu vya dukani, bosi hahongi Hela ila vyeo, dereva wa taxi hahongi Hela ila atakutembeza na gari yake mji mzima, mwalimu hahongi ela ila maksi, n.k, nk. Je wewe una nini cha kudanganyia toto?

mwalimu yuko juu haingiliwi chochote ni wino wake tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom