aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,453
- 20,952
Uzuri wake huwa anakuja hata bila mimi kumpa nauli.Itakuwa alimsikiliza zuchu vizuri
Kwahiyo ni kuku wangu mwenyewe hanipi shida.
Maana huwa haji kwangu kwa ajili ya pesa.
Uzuri wake huwa anakuja hata bila mimi kumpa nauli.Itakuwa alimsikiliza zuchu vizuri
hakuna mapenzi ya kweli kwa mume au mke wa mtuMume wa mtu upendwe bure
MmmmmmhUkitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'.
Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe.
#selfie_Idumu#