Kuhesabu muda

Naona unaleta majigambo kwenye hakuna. Nakuuliza swali. Utaweza ?

Mimi na Kiranga hatufanani kiimani wala kimtazamo.

Siwezi kumuiga. Tujikite kwenye mada.

Tuendelee ....
NIMEKUPUKUTISHA ......
 
Kama umeijua roho na haujautambua uhai,umedabiga matara hapo mkuu nilikuhakikishia kuwa nitakupukutisha onaa sasaaa...hata hujafika mbali nimekuchalaza.....


NIMEKUPUKUTISHAA....

Naona unataka kuruka wakati mbawa,huna. Nataka ujibu maswali yangu ili nikuonyeshe ya kuwa hakuna binadamu anae weza kukioa uhai kiumbe.

Usilete dibaji,mimi ndie nilianza kukuuliza maswali,utaratibu ni ujibu swali,kisha nijibu swali lako. Rahisi sana.

Tuendelee....
 
NIMEKUPUKUTISHA ......

Kuna mwalimu mmoja punguani aliwahi kudai ya kuwa anaweza kuumba,mwanafunzi akamkatalia,mwalimu kwa ushupavu wake,akamwambia mwanafunzi naweza kuumba,akauchukua mkate akauvundika,baada ya siku kadhaa mkate ukatoa funza,akaja nao na kujinadi ya kuwa ameumba.

Mwanafunzi akamuuliza,mwalimu kama wewe umeumba naomba unitajie idadi ya hao funza,na kuna majike wangapi na madume wangapi,na wanamekula mkate kiasi gani kila mmoja ?

Sasa inaonekana wewe unafikiri kijinga na kitoto kama walivyo fikiri wakubwa wako.

Nasubiri majibu ya maswali yangu,kisha nikundishe.

Tuendelee....
 
NIMEKUPUKUTISHAAA....
 
Unaigiza kumuiga kiranga ila mimi nitakupukutisha vizuri tu...

Narudi kwako roho ni nini?

Kama unaijua roho kwanini uulize uhai umetokana na nini!...
.

NAKUPUKUTISHAA....

Naanzia hapa :

Allah Says in the Holy Quran Chapter 17 Surah Israa verse 85:
"They ask thee (O Prophet (saws)) concerning the Rooh (Spirit or Soul). Say: "The Rooh (comes only) by the Command of my Lord! Of its knowledge it is only a little that is communicated to you (O men!)"

Tuendelee.
 
NIMEKUPUKUTISHAAA....
 
Mkuu kwa maelezo mafupi yenye kueleweka unaweza kutupa faida ni nini maana ya SI uniti?

Na nini maana ya muda?
kwa maelezo yako ambayo wewe umeyaita definition ya muda (kwa Leo kwenye aya ya kwanza) hiyo sio definition ya muda Bali ni si-units za muda (Vizio vya muda )

Nilikua nalekebisha hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I believe.. Wote tunaomin kuna muda tunaamin kuna Mungu..

Kwa maana kama kungekua hakuna costant ya utokeaji wa day and night...

Tusingeweza tengeneza saa ambayo inatueleza ni mda huu gan...

Kwaiyo uwekaji wa sekunde dakika etc ni kwamba tu watu wakakubaliana waweke ivo ili waweze kujua ni kwa kiasi gan kipindi fulan kimepita au kwa kiasi fulan kipind fulan kitakua... Kwaiyo hata ww unaweza tengeneza starndard yako ya mda mfano dakika kumi ukaziita juuhm moja..na ukaweza pata miaka sekunde miezi etc lakin katika starndard nyingine yenye maana moja according day and night constants.... Are we together?
 


Mkuu Safuher, umetoa majibu mazuri sana, majibu hata mimi ningejibu kimsingi ningejibu hivyo hivyo.

Ila cha kuongeza kidogo ni kwamba wahenga wanasema shida ni mgunduzi na kitu chenye manufaa hudumu manaa yake ni kwamba siku zote akili ya mwanadamu inafanya kazi kupambana na mazingira yake, ilipofika wakati ambapo muda ilibidi upimwe ndipo mwanadamu toka awali akabuni mbinu mbalimbali kupima muda kwa siku- hususan walitumia jua kujua wakati wa mawio,mchana na machweo pia walitumia vivuli vya miti na vijiti vinavyobadilika kimo kutokana na mwendo wa jua nk,pia watu hao walitumia matukio makubwa kama vipimo vya wiki,miezi na miaka, kwani utasikia wazee wa zamani wanakuambia kwamba; "mimi nilizaliwa mwaka wa nzige"yaani ni kipindi kile ambacho nzige wengi walitokea katika eneo lao.

Leo binadamu amefikia maendeleo makubwa makubwa mno sio tu ya kupima muda bali hata kujua muda uliopita na kuuhifadhi tofauti na ilivyokuwa karne zilizopita, leo kuna "nuclear clock" saa inayolinda muda kwa usahihi zaidi kuliko saa zote duniani (karibu saa zote zinapoteza majira kadiri muda unavyopita). Bado uvumbuzi unaendelea kila uchao na mambo yasiyokuwa na manufaa binadamu huyaacha na hubaki na yale yenye manufaa tu ndivyo Mungu alipanga hivyo.

Muda ni nini?, hakuna definition maalumu ya muda, ila A, Einstein mwanafizikia maarufu akitoa definition ya muda na alisema; "time is what stops two things from happening at the same time"--- yaani; muda ni ile hali inayozuia vitu viwili visitokee kipindi kimoja. Mfano kama vitu viwili vitasnza kutenda kazi kwa pamoja na kuacha kutenda kwa pamoja na ukaulizwa utoe utofauti wa muda kati ya vitu hivyo vilipoanza kutenda kazi na kumaliza utaona muda ni sufuri lakini vingeanza kipindi tofauti hapo ungepata muda uliokuwa tofauti--- hiyo ndiyo definition ya muda/wakati iliyotolewa na A. Einstein.

Mungu ni wa kushukuriwa aliyeweka mazingira hadi sisi binadamu tukaweza kupima muda kwa faida yetu.
 
Ulaji wa Nyama ya nguruwe inasababisha watu wawe mashoga pamoja na madhara mengine.
Ni nyama mbaya sana kuila, na ndiyo sababu Mungu akaiharamisha.
Ahahahahahaahahhhahha aiseeee hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…