Kuharibika kwa head/earphone system ya smartphone

etum

Member
Feb 18, 2014
70
51
Habari za saa hiz wana JF

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikijaribu kuweka earphone kwa smartphone nacikia sauti ya muungurumo flani na sauti ya mziki/radio haisikiki kabisa!!! Nimejaribu kwa aina tofauti tofauti za earphones lakini tatizo ni lile lile

Je hili tatizo linaweza kurekebishwa kwa fundi au ndo mazimaaa?

Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom