barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,325
- 29,589
Kama waona bavicha wana akili basi hii ni hatari, bajeti ambayo wamekuwa wakiiponda, wanataka kujua kuhusu nini sasa hivi kwa kuuliza maswali??Swala sio negative side hapa tunataka tuelezwe mpango wa kuhamia dom haukuwepo kwenye bajeti na mpango kama huu lazima fungu lake lijadiliwe bungeni hizo pesa nani kajadili na zitatoka wapi hata jambo hili ukiuliza unaambiwa bavicha kama ni hivyo basi bavicha wanaakili na uzalendo kuliko vijana walio kwenye vyama vingine
Unataka muelezwe kitu ambacho mlikisusia wenyewe?? Kuna aliyewafukuza bungeni kuijadili bajeti??