samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,954
Habari zenu wakuu natumai mko poa, habari iliyoshika kwa sasa ni ya Serikali kuu kuhamia Dodoma,na najua munajua kuwa Serikali ni watu na watu ndio sisi na sisi tuna wanaotutegemea kwa maana hiyo tunahama kwa mazingira gani.......Hebu tupige kura wanaJF wote ilitufikishe ujumbe kwamba hili swala liko sawa au haliko sawa au liko sawa lakini si kwa haraka hii, sisi hatuna sauti ya kusemea sehemu nyingine zaid ya hapa.Kura tunapiga kwa stairi hii,NDIO,HAPANA NA SIJUI,lakini ukitoa na sababu zako si mbaya
NDIO = Unaunga mkono hoja ya waziri mkuu/Serikali ya kuhamia Dodoma.
HAPANA = Huungi mkono hoja ya waziri mkuu/Serikali ya kuhamia DOdoma.
SIJUI = unamaanisha vyovyote itakavyokuwa wewe unaona sawa.
NDIO = Unaunga mkono hoja ya waziri mkuu/Serikali ya kuhamia Dodoma.
HAPANA = Huungi mkono hoja ya waziri mkuu/Serikali ya kuhamia DOdoma.
SIJUI = unamaanisha vyovyote itakavyokuwa wewe unaona sawa.