Kuhamia Dodoma: Bajeti kuvurugwa ili kuhamisha maelfu ya watumishi, wadau wasema bunge hakuna fungu

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,438
14,916
Ni wazi kwamba bajeti inaelekea kuvurugwa ili kuhamisha maelfu kama si malaki ya watumishi wa umma kuelekea Dodoma.

Bunge la bajeti halikupitisha wala kujadili fungu la pesa ili kuhamisha maelfu ya watumishi, kujenga majengo, kukodi majengo, kuhamisha mali za wizara zilizoko Dar es salaam.

Mvurugano huu unatibua hata kile kidogo kinachotarajiwa kutoka awamu ya tano!

Fungu lipi litabanwa? La kuajiri? La Miundombinu? Au Posho za Watumishi?
 
Washavuruga bajeti. hiyo iliyopo tu haitoshi halafu wanaichokonoa tena hahahahhahh kweli bunge sasa halina Meno mana likipanga mipango yake linavurugwa sasa hapo sijuwi Sheria haijavunjwa mie sijuwi.
 
Tuweke Orodha Ya Wateuliwa Wa Rais Ambao Kimsingi Na Agizo Lake Lazima Aende Nao Dodoma Kule:-
Makamu Wa Rais
Waziri Mkuu
Mkuu Wa Majeshi (CDF)
Mkuu Wa Jeshi La Police
Mkuu Wa Usalama Wa Taifa
Mkuu Wa Takukuru
Mkuu Wa Jeshi La Magereza
Ongozeeni Orodha
 
Kwa nini bavicha mko negative sana, hamuoni vitu on a positive side? Mmerogwa!!
Acha "kukrem" neno Bavicha, lete hoja. Watu wanajadili Fungu la Pesa za kuhamisha Serikali kwenda Dododma lipo? na je mipango mingine ya serikali haitavurugwa na huo mpango.
 
Kwa nini bavicha mko negative sana, hamuoni vitu on a positive side? Mmerogwa!!
Siyo kila MTU anayesema ukweli no Bavicha! Mradi mkubwa kama ule wa kuhamia Dodoma hauwezi kutekelezwa kitaalam bila kutengewa fungu kwenye bajeti! Tutegemee kutakiwa kufunga mikanda
 
Wakati mwingine watu hawawi masikini kwa kukosa Pesa na mali bali kutokana na kukosa mipango mizuri ya kile walichonacho.
Hili la Dodoma la kukurupuka nje ya mipango ndio umasikini wa kujitakia
 
Ni wazi kwamba bajeti inaelekea kuvurugwa ili kuhamisha maelfu kama si malaki ya watumishi wa umma kuelekea dodoma.

Bunge la bajeti halikupitisha wala kujadili fungu la pesa ili kuhamisha maelfu ya watumishi,kujenga majengo,kukodi majengo,kuhamisha mali za wizara zilizoko Dar es salaam.

Mvurugano huu unatibua hata kile kidogo kinachotarajiwa kutoka awamu ya tano!

Fungu lipi litabanwa? La kuajiri?la miundombinu? Posho za watumishi?

Rais Magufuli amesema atahakikisha serikali inahamia Dodoma ndani ya 'MIAKA MITANO'. Bajeti iliyopitishwa ni miaka mitano? Ndani ya miaka mitano maana yake ni mwaka mmoja?
 
Kwa nini bavicha mko negative sana, hamuoni vitu on a positive side? Mmerogwa!!
Hata kama wamerogwa naamini wana pointi kuuliza hasa baada ya kuona kuna commitment ya by September. Hapo ndio malengo ya budget na uhalisia kupishana. Sio issue ya BAVICHA tu tunatakiwa wote tudadisi.
 
Ni wazi kwamba bajeti inaelekea kuvurugwa ili kuhamisha maelfu kama si malaki ya watumishi wa umma kuelekea dodoma.

Bunge la bajeti halikupitisha wala kujadili fungu la pesa ili kuhamisha maelfu ya watumishi,kujenga majengo,kukodi majengo,kuhamisha mali za wizara zilizoko Dar es salaam.

Mvurugano huu unatibua hata kile kidogo kinachotarajiwa kutoka awamu ya tano!

Fungu lipi litabanwa? La kuajiri?la miundombinu? Posho za watumishi?

Rais ameeleza dhamira yake kuwa atahakikisha kuwa ndani ya miaka minne, serikali itahamia Dodoma. Utekelezaji utaanza kwa budget ijayo.
 
Ni wazi kwamba bajeti inaelekea kuvurugwa ili kuhamisha maelfu kama si malaki ya watumishi wa umma kuelekea dodoma.

Bunge la bajeti halikupitisha wala kujadili fungu la pesa ili kuhamisha maelfu ya watumishi,kujenga majengo,kukodi majengo,kuhamisha mali za wizara zilizoko Dar es salaam.

Mvurugano huu unatibua hata kile kidogo kinachotarajiwa kutoka awamu ya tano!

Fungu lipi litabanwa? La kuajiri?la miundombinu? Posho za watumishi?

Mkuu,

Kuna uthibitisho wowote kwamba serikali hufuata mafungu yaliyopitishwa na bunge?
Mfano matumizi ya katiba mpya yalipitishwa lini?
Yawezekana kabisa Rais akiamua lolote litafanyika tu, wanasiasa wengi wakiwemo wabunge wapo wapo tu kufuata upepo (hawajui nguvu yao).
Hata hivyo, hali hii yaweza kuwa na manufaa kwa nchi tunapokuwa na Mkuu wa nchi mzalendo na mwenye AKILI nzuri inayowaza kwa ufanisi.
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Haaaaaaaaaaaaaaaaa, kuna mtu mmoja alikuwa na tabia ya kutoa maamuzi kwa kile mkewe alicho mwambia, sasaaaaaa nashindwa kuelewa.
 
Ni wazi kwamba bajeti inaelekea kuvurugwa ili kuhamisha maelfu kama si malaki ya watumishi wa umma kuelekea dodoma.

Bunge la bajeti halikupitisha wala kujadili fungu la pesa ili kuhamisha maelfu ya watumishi,kujenga majengo,kukodi majengo,kuhamisha mali za wizara zilizoko Dar es salaam.

Mvurugano huu unatibua hata kile kidogo kinachotarajiwa kutoka awamu ya tano!

Fungu lipi litabanwa? La kuajiri?la miundombinu? Posho za watumishi?
Hivi Bawacha huwa mnajua mnacho simamia?
 
Back
Top Bottom