Kuhama na kuhamia makao makuu

Kuhama na kuhamia makao makuu

Mkuu hiyo kitu mbona ipo hata kabla ya kuhamia kwa makao Makuu ila sio hizo sehemu ulizotaja maana ni maeneo ya uwekezaji ya watu tena kama Royal kuna kumbi za Harusi hayo mambo yapo Keko,CDA club mitaa ya uhindini na Mpwapwa flet

Post sent using JamiiForums mobile app
mkuu keko ipi?
alafu CDA club au NK club ile iliyo karibu na tax na bodaboda ukiwa unashuka na barabara ya kwenda mohamed enterprises? hapo jengo la CDA sikatai tena hata mchanamchana unawakuta tofauti ni hapo ni mawindo ya wazee (wababa) mda wote wamepaki njee na magari hawaingii ofisin kutwa kuwinda vidada hasa wanafunzi wakatizao eneo hilo ( ila kwa sasa kwavile CDA haipo sijajua km hio tabia bado ipo)

kingine CHAKONICHAKO usinizuge mkuu wale KUKU ukiwafikiria hata saa sita usiku unaeza jishtukia umeshafika pale. eneo hilo ni center sana kwa wauza miili.
 
Back
Top Bottom