Hivi wao ndio wanawinda ama wao ndio wanawindwa?Nawaona wanyama wapo mbugani
Ukiachia body unakuwa huna heshima?!heshima kitu kikubwa saana ukikihandle ujue
sasa daaaaah sijui nijibujeMkuu niko Malawi hizo bidhaa zinauzwa kila mahali kwa bei rahisi sana usiumize kichwa kumtongoza mtu mwezi mzima anakwambia subiri ajifikirie wakati ukweli atakachokupa hakuna tofauti yoyote na utakacho nunua na kupata siku hiyohiyo kwa bei nafuu na tahadhari kubwa.
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu sina njiwa humu, mimi ni babu tayari, hayo nawaachia nyie wenye damu changa.ha ha ha ha naona unaogopa kupeperushiwa njiwa wako wa humu
Kwahiyo hamna mtu anayeachiwa body hilo?!saaaaaaanaaaaaaaaaa
Mkuu sio kama nawapa promo lakini ukweli uko wazi sana hakuna anayeenda kununua bidhaa hii asichukue tahadhari labda awe hana akili timamu.sasa daaaaah sijui nijibuje
kwahiyo una wa promo?
Mkuu hiyo inasababishwa na kwenda kinyume na nature! Waafrica hawakuwa na utamaduni wa kuvaa nguo. Pengine hao wametambua asili yaoInasikitisha sana, jamii yetu iliyokuwa na maadili inapokuwa katika hali hiyo.
Mkuu hiyo inasababishwa na kwenda kinyume na nature! Waafrica hawakuwa na utamaduni wa kuvaa nguo. Pengine hao wametambua asili yao
Post sent using JamiiForums mobile app
inasikitisha sanahadi umesisimka au?
sawaMkuu sio kama nawapa promo lakini ukweli uko wazi sana hakuna anayeenda kununua bidhaa hii asichukue tahadhari labda awe hana akili timamu.
lakini kule kwenye kuchepuka ama na wake za watu au na wadada walio katika ofisi zetu. Ama wanafunzi ni risk kubwa mno. Matumaini makubwa unayokuwa nayo kwa watu wa kundi la wake za watu au single ladies ni kuwa uko alone lakini ukweli ni kuwa mko lundo na ukizubaa unapeleka maradhi kwenye familia yako.
sabbu hutakuwa na akili ya kutumia kinga.
Post sent using JamiiForums mobile app